spidi ya ajabu sana.......,hadi kuufungua
moyo wangu nimeogopa
ni kwa spidi 120 kwenye kona..nshaaa
yaani we acha tu sasa hv ipo 240 kabisa, nitongolezee basi mimisa kwa Heaven on earth nisaidie mwenzio!
Thank u miss u too...will get in touch...
Naona huu ndo msimu wa ndoa halali
sikufi kwa sasa, ila nimeenda tena kumtafuta mrembo ambae anashangaa hajielewi! maana kiwatengu kanikurupusha sana, huyu hakika sio mtu mzuri kabisaa!
Pole kaka! hapa umechelewa sana!
yuko mshikaji wangu mwananthropolojia anakamatia hapa!
na wanapendana kinooma..
hili jeraha nimeamua kuwa single lady tu.....
mwananthropolojia kweli amefungiwa,
maana amekuwa adim sana huku mtaani
mwananthropolojia unajificha sana bana mpakanipo nimefichwa, nakula zangu zabibu
sikuumizi jamani, nitakupenda kama hela za marekani!
Judgement msimu wa :mimba::mimba:kutakuwa hakuna kujuanaNdiyo inavyokuaga mpenzi! Kisha msimu huu utakaa kando na kuupisha msimu wa mimba!
TheDealer huku mbona nafasi zimejaa na huyo mimisa yupo na ndoa halali kabisa, labda uvizie wale wanaoachika kama Heaven on earth
yaani wewe....
Lady doctor
TheDealer huku mbona nafasi zimejaa na huyo mimisa yupo na ndoa halali kabisa, labda uvizie wale wanaoachika kama Heaven on earth
my wii hutaki mume????