- Thread starter
- #21
daima!Kila kona mapendo
daima!Kila kona mapendo
sasa nifanyeje, na huku nimekuzimikia vibaya
Aisee daaaa jamani inaniuma ujue! vile hujui tu!asee..sina matumizi na kidumu kwa sasa..hata ndugu yangu Kaizer na best yangu Mentor wanajua..ukiachilia mbali my diarest Rich woman
asee..sina matumizi na kidumu kwa sasa..hata ndugu yangu Kaizer na best yangu Mentor wanajua..ukiachilia mbali my diarest Rich woman
Daaaa nafwa mie!
Huku single lady wako kibaoo..
Be strong my inlaw..usitetereke na wapitaji tu..
ila sasa umedondoka kwa huyu bibie!
anyway naomba orodha nijiliwaze nao! maana naona kufakufa hv!
ila sasa umedondoka kwa huyu bibie!
anyway naomba orodha nijiliwaze nao! maana naona kufakufa hv!
TheDealer yaani upendo wako balaa hadi moyo unadondoka!!!!acha tu ndg yangu! mapenzi jamani yanatutesa sana!
kiwatengu sasa hapa si umeshanitajahapa kuna watu nikiwataja lazma walete nouma..
mwombe Heaven on earth akutajie..
utafarijika tu mkuu
TheDealer yaani upendo wako balaa hadi moyo unadondoka!!!!