Heshima kwa wote humu ndani!
Kwa kifupi jamani naomba kusema:
Huenda mimisa akawa na mpenzi wake humu(sifahamu), lakini bado nimeshindwa kujizuia kumwambia ukweli kuwa moyo wangu umemdondokea, na hv ninavyotembea sasa hv moyo sina umemdondokea yeye!
Plz mimisa naomba ufahamu hili na kunihurumia maana nina mapenzi ya dhati sana kwako!
Mpige chini yeyote uliye nae kwa sasa nichukue mimi!
Ahsante sana!
Nakala kwa Baba V, mwenyekiti wa cc!

Last edited by a moderator: