Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Last edited by a moderator:
mi nakupima imani tu hapa ujuee, nawewe ukiangusha moyo tu umeisha
mbona kwangu haujafika,nna moyo mmoja tu hapa
shansarie naona kama moyo wangu nae unataka kumdondokea kiaina! ila ngoja kwanza nimsikilizie Heaven on earth!
sa hivi niko makini!!!!!
ya kwa UNDENIABLE hayawezi kujirudia
TheDealer ngoja nicheki ila mpaka dakika hii sajauonaAngaliaangalia vizuri la aziz wangu, moyo upo kabisaaaa, tena nina uhakika!
sasa wewe okota mioyo ya watu uone kama utaingia ikulu
huku utakuwa umedondokea pabaya maana utavunjika kabisa usipoangalia ila kwa matibabu utapata
ushawahi kukutana na balaa la kiwatengu wewe?