Mimi sijaongezewa mshahara...

Mimi sijaongezewa mshahara...

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,355
Nilifurahi sana na nikashukuru moto uliowashwa na CHADEMA ambao ulipelekea Mkuu wa nchi kutangaza nyongeza ya mshahara ha kwa bahati nzuri nilifanikiwa kuona secular iliyoonyesha mshahara mpya. Lakini mwezi wa nane sikuona nyongeza na taarifa nilizopata kwa bursar wetu hata mwezi huu wa tisa wameletewa hundi 'ile ile'. Sijui sisi huku sio wapiga kura!!!!!!!
 
Dili limetibuka kama wangelipa mwezi wa nane ushahidi ungekuwa wazi. Hivyo wa kutokulipa mwezi wa nane ndo maana hata tendwa kasema tuhuma nilikuwa za uzushi.
 
tuko asante kwa habari,lakini mimi nataka nikuulize hiyo mishahara imepanda kwa asilimia ngapi kwenye hiyo circular ambayo umeona?na pia nataka niulize kwa upande wa madaktari mshahara umepanda kwa asilimia ngapi?kama kuna mtu ana circular naomba,au kama mtu anafahamu hizo rates naomba aziweke hapa ili itusaidie.asante.
 
Mi liliona secular ya kupanda kwa mshahara mwezi july ambayo baadhi ya wafanyakazi wamesha lipwa na sisi tuko mbioni kulipwa. Lakini ya Tangazo la kikwete kule kirumba kuhusu mishahara kupanda secular yake sijaiona.
 
Back
Top Bottom