Black Mann
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 140
- 209
..
Unaowa au unafunga harusi?
Kwani kuoa Ni nini labda?kufunga harusi ndiyo nini?
Kwani kuoa Ni nini labda?
Ameni, nashukuruKila lakher kaka mkubwa upate shemeji mtakaendana.
Napingine unahisi hii mitandao Ni utaratibu wa kidini na tamaduni?kumapata mwenza wa maisha kwa utaratibu wa kiibada na tamaduni
Waliokuwa JF wanatokea wapi mkuu? ni hao hao wa mtaani ila tunakuta kwa njia tofauti tu!! unajua kuwa changudoa wa sinza ndiyo unaye mtongozaga kimara bila kujua kama ni changudoa na anakukataa vile vile............FIKIRIA KIDOGOmkuu huko kitaani kwenu hakuna wanawake mpk unakuja humu ndani, yani unataka wanawake wa JF au inakuwaje mkuu, any way nisikukatishe tamaa subiri unaweza kubaatisha kila la kheri
Hakuna nilipoongelea mtandao, nimeongelea kuoa ndiyo utaratibu wa kidiniNapingine unahisi hii mitandao Ni utaratibu wa kidini na tamaduni?
Good luck, you'll need it.
Sidhani Kama umelewa msingi wa swali,naona umezinduka tuuh kilijibuHakuna nilipoongelea mtandao, nimeongelea kuoa ndiyo utaratibu wa kidini
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sawa mkuu ila nimecheka sana eniwei nakutakia mafanikio kwenye kupata mwenzaWaliokuwa JF wanatokea wapi mkuu? ni hao hao wa mtaani ila tunakuta kwa njia tofauti tu!! unajua kuwa changudoa wa sinza ndiyo unaye mtongozaga kimara bila kujua kama ni changudoa na anakukataa vile vile............FIKIRIA KIDOGO
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sawa mkuu ila nimecheka sana eniwei nakutakia mafanikio kwenye kupata mwenza