Wakazi: Wakati wasanii wanafight kwenda kimataifa Mimi huko ndiyo kwetu

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,777
24,211
“Tangu 2013 nilikuwa sijaenda America mpaka 2021 sababu nilidhamiria kujijenga na kufanya vizuri zaidi kwenye local market (Tanzania) wakati mimi naweka nguvu zaidi kutaka kujijenga zaidi local, wasanii wengi wa Tanzania wanataka kwenda international, na mimi huko ndio nyumbani!” -Wakazi

Hivi huyu wakazi....ukiachana na kujimwambafai ni hit song gan anayo?

1704893707439.jpg
 
Mafanikio makubwa kwenye career yake ni kupiga picha na Kanye west & Wiz khalifa. Music content wise ni 0 yani Sifuri. Anaupenda sana muziki ila muziki haumpendi, angewekeza jitihada zake kwenye angle nyingine ya muziki kama vile Promotion au management inawezekana angekuwa na mafanikio zaidi
 
Mafanikio hayatokani na ubora. Songa aliwahi kusema "unaweza ukawa bora hata usipo win"

Trust me Wakazi anaweza asiwe kwenye top ten zenu ila kichwa chake ni asset kubwa kwa sanaa yetu.
 
Mafanikio makubwa kwenye career yake ni kupiga picha na Kanye west & Wiz khalifa. Music content wise ni 0 yani Sifuri. Anaupenda sana muziki ila muziki haumpendi, angewekeza jitihada zake kwenye angle nyingine ya muziki kama vile Promotion au management inawezekana angekuwa na mafanikio zaidi
Duuuuh anewahi piga nao picha??
 
Wakazi ni mshamba ambaye ana akili kama mwanamke aliyepata elimu ya juu.

Wakazi ni mshamba narudia tena , kuandika kingereza sio mpango tambua game ya mziki huwezi kutoboa ukiwa educational ego ....Jamaa kama angefanya mvumbuzi na hiyo elimu yake tusingelala.
 
Back
Top Bottom