Mimi nitaoa 2021

Wakuu mimi nategemea kuoa mwakani 2021' nitafurahi sana kama wana jukwaa wa JF mtakuwa moja ya watu mtakaofanikisha ndoa yangu (Serious issue)
nipo single nitafurahi pia hata nikimpata mwenza hapa hapa au kupitia hapa' ila hata nikikosa hapa kwa juhudi zangu nitatafuta 2021 mapema saana Mungu akijaalia kuwa hai na kunipatia mke nitaoa (lengo langu 2021)

NB: kwa msichana mwenye lengo na utayari wa kuolewa pia naomba tu share ideas (huwezi jua Mungu kapanga nini mbele yangu/yako)
Hiyo ni good determination nimeipenda.
Just jana niko home hapa tuu kuna kitu kilitokea na kuna kitu nilifanya nikaona natakiwa kuoa by either 2022 or 2023.
 
Back
Top Bottom