Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Magufuli atarudi na uenyekiti Dodoma

Hiwezekani sasa asipopewa uenyekiti apewe nani wakati anagombea mmoja tuu za kuambiwa changanya na za kwako usikae kama uko chooni una wazo moja tu unnyyee uchaambee uflashi
 
Nasema nitakuwa wa mwisho. Makundi ya watu waliopita mikoani na maburungutu ni mengi mno na yote ukiangalia yana watu mashuhuri nyuma yake, na hoja zao zinafanana kwamba chama hicho kitageuzwa chama chama cha kisukuma na kikanda .
Mcjdkcmdkd,kallsl,dmcosmdisks
 
Nasema nitakuwa wa mwisho. Makundi ya watu waliopita mikoani na maburungutu ni mengi mno na yote ukiangalia yana watu mashuhuri nyuma yake, na hoja zao zinafanana kwamba chama hicho kitageuzwa chama chama cha kisukuma na kikanda .
I bet saa hizi unatafuta pakutokea hupaoni...

Tuliwakataza mapema muachane na uchuro hamsikii..
Matokeo yake ndio hayaa sasa... huna pakufichia sura.. unatamani kuikimbia ID yako mwenyewe..

Mganga wa kienyeji weehh!!! Kazi kupiga mazindiko na ramli..
 
Aibu Yako.
 
Kila mtu sasa hivi anajifanya mchambuzi wa Siasa
 
Nasema nitakuwa wa mwisho. Makundi ya watu waliopita mikoani na maburungutu ni mengi mno na yote ukiangalia yana watu mashuhuri nyuma yake, na hoja zao zinafanana kwamba chama hicho kitageuzwa chama chama cha kisukuma na kikanda .

hehehehehehe wachambuzi uchwara wa siasa. Sasa naona umejifunza kuropoka ropoka humu jukwaani
 
Back
Top Bottom