Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Magufuli atarudi na uenyekiti Dodoma

Hotuba yangu sasa kipindi nimepewa uwenyekiti wa chama

Ndugu wajumbe msema kweli mpenzi wa mungu wapo watu waligeuza chama kama Mali yao vyao vya mapato ya chama kama miradi yao na kufanya waonekane miungu mtu ndani ya chama

Ndugu wa jembe kuanzia sasa naitaji chama iwe na account moja tu mapato yote ya chama mikoani yaingie katika account hii chama mkiitaji pesa muombe makao makuu hii kuepuka majibu yaliogeuza ccm shamba la bibi

Ndugu Wana chama tunajua na baadhi mnajua Kuna Mali za chama leo hii kiuhalisia ni Mali ya umma si chama kwani zikipatikana kipindi ya chama kimoja hivyo basi kwakua serikali hii ni chama tawala ccm katika utawala wangu nakusudia kurudisha hizi Mali serikalini ili tuenjoy wote hivyo basi kuanzia sasa viwanja vyote vya mpira ccm kirumba kaitaji bukoba Mwinyi tabora sokoine mbeya na vingine vyote vinarudi serikalini na kuwa chini ya halmashauri siyo chama tena

Ile mwenyekiti a nageuka hivi nusu ya wajumbe wametoka ukumbini wote anangalia kulia wajumbe hawapo haaaa haaa haaaa
 
Nasema nitakuwa wa mwisho. Makundi ya watu waliopita mikoani na maburungutu ni mengi mno na yote ukiangalia yana watu mashuhuli nyuma yake, na hoja zao zinafanana kwamba chama hicho kitageuzwa chama chama cha kisukuma na kikanda .
CCM hakuna wa kuwa na ubavu wa kupinga! Hawa ni bendera fuata upepo, hakuna mtu pale!
 
Back
Top Bottom