Mimi ninapenda hiwe hivi je wewe tupo same boat?

Siku zote kila mtu uwa anatengeneza mtu wake wa kuoa/kuole lakini mwisho wa siku inakuwa ndoto.

Mrefu anaoa mfupi na mfupi anaoa mrefu na maisha yanaendelea
 
unaweza kusema napenda .msichana wa hivi....
ukakutana wa tofauti na vigezo vyako na still 'ukampenda'
mapenzi ni upofu, na ndo maana kupenda inaitwa 'ku fall'
na sio kuamua......watu huwa 'tunaanguka' kwenye mapenzi...
hahaaaaaaaaaaaaaaaa haufall ivivi tu jamani loh! unafall pale ulikopenda na umependa kwasababu ulizoziona na ambazo zimekupendeza ww na izo ndio tunaziita kua ulikua wazitaka na umezipata sawa mkuu
 
sifa zoooote zitatajwa humu, binafsi njua ni moja tu ndo breki ya wanawake, mademu na wasichana wote...FEDHA, aka PESA. MSHIKO. Kigezo/sifa hii pekee hakuna mwanamke anayeweza kuikataa hata ikisimama peke yake na ina uwezo wa kukufanya 'ufyagie' wanawake wote Tanzania hii kasoro ndugu zako tu!
kwangu hiyo hai be applicable loh! najua huwez amini ila huo ndio ukweli.......... i dnt give a damn shit abt his money .......i care abt being he and himself
 
Dah nakesho jumatatu tusubiri wadau na mengi maana wengi wapo mashamabani!
 
Mwanaume pesa bwana hata kama unanukia kibeberu warembo unawazoa kama huna akil, kuna kipind fulan miaka ya 90, vijana walikuwa wanatoka kwenye machimbo ya tanzanite arusha wamechafuka tope mwili mzima huwez kutambua km huyo jamaa ni mweupe ua mweus. Akiingia mtaan na pikpik cc 250 anakupora dem hiv hiv, nanake akifika anamwaga minot mezan alaf dem anaambiwa achugukue za kwake!! Lol ham sina
 
Imekuwaje mnagombana??kisa kimeanzia hapa au huko mlikotoka??napenda kujua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom