Makubwa hayo!!!!Mimi ni Mtanganyika.
Natokea kijiji cha Katente, hapa Ushirombo, wilayani Bukombe...
Hakika nilipitwa na wakati hata sayansikimu sikumbuki mieee....[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Sasa pa juu wapiii ulipogusisha banaDuh.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mkuu, mbona hakuna nilipoandika papuchi....[emoji45] [emoji45]
HeyEti baada ya mwezi mmoja akaja kuniambia tumbo limemjaa....[emoji45] [emoji45]
Hapa nawaza......
1: Mbona, sikuwahi zama..!?
2: Mbona, skuhiyo aliisogeza (kyupy) pembeni..!?
3: Au, mimba nili iingiza kwa ulimi nilipo pandishia ulimi kwenye fudi ya watoto..!?
4: Pengine nilimtunga ile asubuhi wakati wa kupiga mluzi pale kazi..!?
Aggghhhhh........[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
Labda kitovuniSasa pa juu wapiii ulipogusisha bana
kuguzisha tu kunatia mimba!..hatari sanaKwa juu wapi ulipogusisha kama kwenye papuchi na kama alikua siku za hatari mimba lazima apate lea mtoto huyo
mkuu haya mambo huanzia akilini..hivyo kama alikuwa kalala ni vigumu kutoa goli...Labda ulipitiwa na usingizi akajihudumia mwenyewe hah hah...no way out inabidi uhudumie hiyo kitu la sivyo utakuwa hatiani tu kwa jinsi ninavyowajua hawa kina Hawa'
Hata ukiwa usingizini ukiguswa panapohusika lazima mwili utajongea mkuu hah hah anyway siwezi kupinga utafiti wako..mpaka tufanye tafiti kwanza!mkuu haya mambo huanzia akilini..hivyo kama alikuwa kalala ni vigumu kutoa goli...
fanya utafiti utagundua hiloHata ukiwa usingizini ukiguswa panapohusika lazima mwili utajongea mkuu hah hah anyway siwezi kupinga utafiti wako..mpaka tufanye tafiti kwanza!
itakua bamdogo au sikioniLabda kitovuni
Poa comrade cheza salama.Hapana Mkuu, ni chausiku