Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,380
- 2,956
Haya tumekusikia unajua tulinogewa na story ya Mentor tukaona si mbaya tuuze kadada ketu kwake,ukiwa siriazi na mambo madogo utapata presha bure take easy.
Usijali Mkuu maadam mumeelewa.
Haya tumekusikia unajua tulinogewa na story ya Mentor tukaona si mbaya tuuze kadada ketu kwake,ukiwa siriazi na mambo madogo utapata presha bure take easy.
"...Siku hii nilipangwa lindo kwa mheshimiwa
waziri huyu. Ilikuwa lindo la asubuhi. Kama
kawaida na sheria, inatubidi tufike eneo la
lindo robo saa kabla ya muda wa lindo. Na
kawaida yangu nilikuwa napenda sana
kutunza muda. Hata askari wenzangu
walikuwa wakijua na wengi walikuwa
wakifurahi ukipangwa lindo ambalo Mentor
ndiyo anakuja kuku-leave unafurahi kwani
una uhakika wa kuondoka kazini kwa muda.
Tulifika nyumbani kwa waziri saa 05:45..." Sio kweli!!!!
Kama...
Jiandae kutoa tafsiri lasivyo.....
[/B]kwani wewe ndo yule waziri,au mke wa waziri au Tina au askari aliyetolewa na Mentor lindoni?
Kipi hapo si kweli?
- Kupangwa lindo kwa waziri
- kwenda lindo saa 05:45
- Hakunaga lindo la waziri
- hakunaga lindo la waziri mchana
- au nini hasa!??
Relax dude!...relax.
Mimi siyo dude ni ng`wana ong`wa kulwa kwi kwi kwi au badala ya dude niite Mtumishi wa Bwana wa Majeshi au dude nini?
Askari (field force mkoa huo unaosema) way back wanapelekwa kazini na magari ya ofisi...so mkichelewa mnachelewa wote ...hii ya kusema kwamba mtu akipangwa na wewe anafurahia kuliviwa mapema,kiaje?!ulikuwa unatumia usafiri binafsi?
Na malindo ya Mawaziri and most of the VIP's wa hii nchi wanalindwa na hao and that story kweli nishawahi kusikia ilitokea askari mmoja alishawahi niambia.
Kipi hapo si kweli?
- Kupangwa lindo kwa waziri
- kwenda lindo saa 05:45
- Hakunaga lindo la waziri
- hakunaga lindo la waziri mchana
- au nini hasa!??
Ukweli mtupu, aisee enzi zile ukipata division two ujue chuo kikuu huendi, hasa kama umesoma masomo ya sanaa! Nashangaa siku hizi hadi division three utawakuta mlimani wanatamba, eti chuo UD bwana!!!???? Lol, ama kweli elimu imeshuka thamani!Mkuu enzi za 2000/2001 makisi za chuo zenye thamani ilikuwa div 1 pekee isipokuwa kwa science tu. Na hapakuwa na bodi ya mikopo
Amani ya Bwana Na iwe Nanyi!
Askari (field force mkoa huo unaosema) way back wanapelekwa kazini na magari ya ofisi...so mkichelewa mnachelewa wote ...hii ya kusema kwamba mtu akipangwa na wewe anafurahia kuliviwa mapema,kiaje?!ulikuwa unatumia usafiri binafsi?
Na malindo ya Mawaziri and most of the VIP's wa hii nchi wanalindwa na hao and that story kweli nishawahi kusikia ilitokea askari mmoja alishawahi niambia.
Kumbe ushahadithiwa eeee..sasa unataka kubisha nini?
Haya njoo PM nikutajie hadi nyumba ya waziri mwenyewe huko Masaki halafu upige hesabu lile gari linapowashusha watu hadi nyumbani kwa huyo waziri kuna umbali gani na unaweza kuchelewa tu kwa kisingizio hicho.
Lakini pia nilikuwa naongelea on the general term, ni tabia yangu mimi kuwahi lindo. Muulize aliyekuhadisia sifa zangu vizuri...upo kituo gani bwana Rapherl?
Sio lazima wote waandike wengine tuwe wasomaji tu. Mentor umeboa mwachie MZIZI andeleze sanaaaa
Mheshimiwa rudia hesabu vizuri utagundua kuwa tarehe zako hazi-balance. Ni vigumu mtoto wa darasa la sita wa mwaka 2001 kuwa mwaka wa kwanza chuo cha uhasibu Arusha mwaka 2008. Sana sana atakuwa Form six. Labda kama umesahau kuujuza kuwa alirushwa darasa la saba pia.
bhasiza bhane..mlepela mahe shi?...nnindelagi u ntoji ayombe ng'wenekele..niki nadi opi...