mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,217
not really...walikuwa wadhamini tu
Thread imeshatekwa tayari............!
Thread imeshatekwa tayari............!
not really...walikuwa wadhamini tu
Mentor, I salute you afande! Mpaka sasa we ni afande? Au umekimbia kama Chris Lukosi?
Mheshimiwa rudia hesabu vizuri utagundua kuwa tarehe zako hazi-balance. Ni vigumu mtoto wa darasa la sita wa mwaka 2001 kuwa mwaka wa kwanza chuo cha uhasibu Arusha mwaka 2008. Sana sana atakuwa Form six. Labda kama umesahau kuujuza kuwa alirushwa darasa la saba pia.
Omyenecha hoi, ulikajanja sana ilumbuye!
Bahati nzuri Mentor ameweka sawa mahesabu kwa kutupa taarifa zaidi kuwa binti alirushwa darasa la saba. Sasa tunasubiri kisa cha binti wa kikenya kiendelee.Inawezekana kwani si alimaliza form 6 hyo 2008 na baada ya kutoka kwa result mwaka huo huo akanza masomo kwa mwaka wa masomo 2008-2009 mwaka wa kwanza• Sisemi kama Mentor yupo wrong au nah but nmekujibu kutokana na fact ya mtu kumaliza advance current year n kuanza chuo mwaka huohuo• Na ndivyo wengi tulivyofanya, kwa upande wa Mentor kidogo kuna makosa km atakua hajaruka la saba kwa maana atagraduate form 6 2009 na hyo 2009 ndyo angeingia mwaka wa kwanza kwa msimu wa masomo 2009 to 2010 , labda kaka angetuweka wazi kama aliruka o nat na km hafaham bhasi sawa kwa mana yeye atakua afaham kuhusu mwenendo wa huyo mtoto km hakuwepo tena lindoni
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ngoja nimalize kesi na mwallu kwanza...will be back!
ahahah..sezae...abhanhu bhaguduluka ahamoyo...hawataki wadhamini
Asifikiri SISI tunaogopa hizo gwanda zake ZA upolisi.
sisi tena wazee wa vijisenti hatuogopi yeyote mwenye mwili! tunaogopa umasikini hasa njaa maana mkoni usipoenda kinywani hatariiiiiiiiiiiiiiii.
Hahahaha Maana wasukuma kwa kuogopa njaa Ni nouma!
Nangojea tafsiri niendelee na hadisi...
*via instagram..wozap..badoo..facebook...posta..ems ama face2face.