Mimi ni Polisi: Kisa cha mke wa Waziri

Mimi ni Polisi: Kisa cha mke wa Waziri

Waite Na wewe wenzako mkigonge CHA kwenu!

Mkuu Ntuzu mimi naongea Kiswahli safi. Mimi ni mtu wa pwani. Hii munayofanya sio tabia nzuri . Jirekebisheni.
 
Last edited by a moderator:
....hahaha, Mentor umepitia mengi wewe,
dahh...ndio naiona hii simulizi. Next time uwe una ni #tag .
Visa vyako ni #StressReliever kabisa.
 
Last edited by a moderator:
tulikuwa tunamsubiri Mentor tukaona tukate kwanza kanako ning`inia(twaluchemba ako kalikaningelaga bhabha) salama lakini ndugu mie mzima.

Usalama uko wapi ndugu, nendeni PM mukaongee hayo mambo yenu. Mnaharibu thread yote kwa mambo ya ukabila.
 
Samahanini ndugu zangu mimi ni kijana wa miaka 26 naitwa dioniz (champion) naombeni msaada wa karo maana maisha yangu ni magumu ikiwezekana mnipigie sm au ujumbe mfupi hata kujiunga na chama nitakuwa tayari ili mradi maisha yangu yawe mazuri.natanguliza shukurani.
 
Mkuu Ntuzu mimi naongea Kiswahli safi. Mimi ni mtu wa pwani. Hii munayofanya sio tabia nzuri . Jirekebisheni.

Unajua Globu SISI ndio babu zako wewe Au wewe hufahamu Hilo? Kumwambia babu yako ajirekebishe unakosea sn! Maana Watu Wa pwani wakiongozwa Na wazaramo ni wajukuu zetu SISI wasukuma!

BTW tulikua tunapiga story tu kidogo Na porojo ZA hapa NA pale ZA kutuhusu SISI WENYEWE! Kua Na Amani Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Usalama uko wapi ndugu, nendeni PM mukaongee hayo mambo yenu. Mnaharibu thread yote kwa mambo ya ukabila.

Sema ni kwamba Mkuu kile tulichokua tunaomgea haukifahamu! Lkn ni mambo ya kawaida tu!
 
Unajua Globu SISI ndio babu zako wewe Au wewe hufahamu Hilo? Kumwambia babu yako ajirekebishe unakosea sn! Maana Watu Wa pwani wakiongozwa Na wazaramo ni wajukuu zetu SISI wasukuma!

BTW tulikua tunapiga story tu kidogo Na porojo ZA hapa NA pale ZA kutuhusu SISI WENYEWE! Kua Na Amani Mkuu!

Usijali ila...........................................
 
Last edited by a moderator:
Usalama uko wapi ndugu, nendeni PM mukaongee hayo mambo yenu. Mnaharibu thread yote kwa mambo ya ukabila.

Haya tumekusikia unajua tulinogewa na story ya Mentor tukaona si mbaya tuuze kadada ketu kwake,ukiwa siriazi na mambo madogo utapata presha bure take easy.
 
Aaaah TAKE IT EASY ahene Na natogwa!

Ngoja tubhonge sasa LUGHA KOLONI.

Yes yes Na No No nyingi!

Ajabu sana wachina wakiongea lugha ya kwao sawa lakini nywele ngumu tunadharau sana lugha zetu mpaka ukiongea kilugha watu wanatamani kukumeza loh tupende vya kwetu yes yes hawazilalamikia wakati ni kisukuma cha London.....
 
Kama...

Jiandae kutoa tafsiri lasivyo.....

"...Siku hii nilipangwa lindo kwa mheshimiwa
waziri huyu. Ilikuwa lindo la asubuhi. Kama
kawaida na sheria, inatubidi tufike eneo la
lindo robo saa kabla ya muda wa lindo. Na
kawaida yangu nilikuwa napenda sana
kutunza muda. Hata askari wenzangu
walikuwa wakijua na wengi walikuwa
wakifurahi ukipangwa lindo ambalo Mentor
ndiyo anakuja kuku-leave unafurahi kwani
una uhakika wa kuondoka kazini kwa muda.
Tulifika nyumbani kwa waziri saa 05:45..." Sio kweli!!!!
 
Samahanini ndugu zangu mimi ni kijana wa miaka 26 naitwa dioniz (champion) naombeni msaada wa karo maana maisha yangu ni magumu ikiwezekana mnipigie sm au ujumbe mfupi hata kujiunga na chama nitakuwa tayari ili mradi maisha yangu yawe mazuri.natanguliza shukurani.

Hujitambui wewe! Unaomba msaada wa karo au unataka kujiunga na chama? Kwani humu nani kakwambia wote wanavyama?

Halafu hapa sio mahali pake, nenda kwenye jukwaa husika
 
Samahanini ndugu zangu mimi ni kijana wa miaka 26 naitwa dioniz (champion) naombeni msaada wa karo maana maisha yangu ni magumu ikiwezekana mnipigie sm au ujumbe mfupi hata kujiunga na chama nitakuwa tayari ili mradi maisha yangu yawe mazuri.natanguliza shukurani.

Na wewe usituchefue!!!!
 
"...Siku hii nilipangwa lindo kwa mheshimiwa
waziri huyu. Ilikuwa lindo la asubuhi. Kama
kawaida na sheria, inatubidi tufike eneo la
lindo robo saa kabla ya muda wa lindo. Na
kawaida yangu nilikuwa napenda sana
kutunza muda. Hata askari wenzangu
walikuwa wakijua na wengi walikuwa
wakifurahi ukipangwa lindo ambalo Mentor
ndiyo anakuja kuku-leave unafurahi kwani
una uhakika wa kuondoka kazini kwa muda.
Tulifika nyumbani kwa waziri saa 05:45..." Sio kweli!!!!

kwani wewe ndo yule waziri,au mke wa waziri au Tina au askari aliyetolewa na Mentor lindoni?
 
Back
Top Bottom