Amina iwe nanyi pia
"Salimianeni kwa busu takatifu"
Wewe dada yng!
Khe Khe Khe Khe
Aabhusu do ahene nkoi! Mkomisha na bhalalile!
Mimi si Askari ila nina rafiki zangu wengi tu wa shuleni ni maaskari mmoja yupo pale FFU Dsm na ndie aliyenihadithia hicho kisa yule inaonekana yule mama alikuwa na dharau sana kwa askari japo ndo watu waliokuwa wanakesha nje yeye kalala ndani na familia yake wakiwa salama kabisa...
Bahati mbaya labda ungekuwa umevurugwa siku hiyo na unasilaha ingekuwaje?!
Mheshimiwa rudia hesabu vizuri utagundua kuwa tarehe zako hazi-balance. Ni vigumu mtoto wa darasa la sita wa mwaka 2001 kuwa mwaka wa kwanza chuo cha uhasibu Arusha mwaka 2008. Sana sana atakuwa Form six. Labda kama umesahau kuujuza kuwa alirushwa darasa la saba pia.
wandije nanali ugufunya e siri ja mlyiko guma kabhila sezae
hahahaha Ntuzu ngoja yule mzaramo aone ulichoandika leo utajua nyau siyo mboga.
Mi yng macho!
Kaka Rapherl, nilikuwa na silaha ila nadhani mafunzo niliyopitia si rahisi mimi kupandwa na hasira kwa neno dogo hivyo hadi kufikia kutumia silaha!
Muulize huyo rafiki yako japo kiduchu tu akuelezee depo kunakuwaje na walimu hutumia mbinu ipi kuwafanya msipandwe na hasira ovyo hata kwa vineno vidogo vidogo vya raia!
Mheshimiwa Tata, nashukuru kwa kuwa unaonesha umesoma vyema. Ni kweli kwa haraka haraka unaweza ukadhani nimekosea tarehe lakini (ukiachia kosa la kusahau kumwuliza tarehe salama binti Catherine) mimi huwa mfuatiliaji mzuri sana wa tarehe. Ni kweli Tinna alirushwa darasa la saba na kwenda moja kwa moja kidato cha kwanza shuleni Marian.
Alisoma Marian na hajui statistics!! Story ya kusadikika Mentor..