Wakuu habari ya majukumu,,,,natumai Mungu anawapigania sana katika mapito yote hapa chini ya jua.
Mimi niende kwenye maada,,nimekaa siku moja nikaanza kujihoji Mimi ni nani kwenye hili?
Maana ni toka zamani sana navuta kumbukumbu nasema waooh mbona ipo hivi?
Yaani huwa nikianzisha jina au...