Mbarikiwa Mollel
JF-Expert Member
- Jan 13, 2015
- 241
- 50
Siasa za Lema zinaanzia Ngaramtoni mwisho kwa Ngulelo Arusha. Lema alikosa watu wa kuwahutubia Kahama akaamua kujisingizia ajali. Lema amefilisika kisiasa
hii mijitu ndio inasababisha nifurahie mitaahira kama lema ikipata ajali. Tena bora lingekufa
Wewe ni muongo,kwani gari halina spea tairi?
wala siamini kama hata mwanza umefika.
Jaman imetosha msameheni huyu kichaa alikuwa hajajipanga, kwa haraka haraka ndio kaja uongo wa pancha. Hiki kibarua walichopewa na mzee Mtei kufukuza upepo wa Zitto kitawatoa ute wa mk.undu mwaka huu.
siasa za lema zinaanzia ngaramtoni mwisho kwa ngulelo arusha. Lema alikosa watu wa kuwahutubia kahama akaamua kujisingizia ajali. Lema amefilisika kisiasa
halafu nyie ndio wachawi wenyewe ata kama spea tairi lipo unadhani litajibadilisha lenyewe? halafu nahisi wewe ndio unawaloga viongozi wa chadema
Toa dharau za kijinga wewe hayawani,ukome kabisa kuwadharau viongozi wetu,hao viongozi wenu wa ccm wana ubora gani? Serikali yote imejaa majuha watupu kuanzia ikulu hadi ngazi ya vijiji,wameua uchumi,sh haina thamani yoyote hivi sasa,sekta zote zimeoza na ni majeneza,police,mahakama,hosp za umma,zote ni majanga,hivi huwa mnapata wapi ujasiri wa kuwa pro-ccm? Nyie wanachama wa ccm wote kama mlivyo ni watoto wa mbwa,tena mbwa koko,na ni mataahira wote kabisa,hamna hata aibu washenzi ninyi,na huu mwaka ndo the end of harlots to reign in the state house nyambaf zenu.
Jaman imetosha msameheni huyu kichaa alikuwa hajajipanga, kwa haraka haraka ndio kaja uongo wa pancha. Hiki kibarua walichopewa na mzee Mtei kufukuza upepo wa Zitto kitawatoa ute wa mk.undu mwaka huu.
Mh ina maana hukufika kwenye mkutano??
Pancha wamepatia karibia wanafika Kahama baada ya kuwasiliana na pro-Chadema mkutanoni akaambia hamna watu akaamua kurudi Dar.
Tatizo mnatumbua tu kwa anasa pesa zinazotolewa na serikali kwa ajili ya service ya magari yenu ya wabunge.
Pamoja na kwamba mmeamua kutumia magari ya walipa kodi kwa kazi zenu za chama, basi angalau myafanyie service. Pesa nyingi tu utolewa kwa ajili hiyo.
Sikulaumu wewe nawalaumu wazazi wako walioshindwa kukupatia elimu ya kutosha na malezi ya kiungwana
Ujinga kabisa huu, kuna service ya kuzuia puncture?
we mangi huna unachujua nyamaza!