Mimi ni mwanaume nahitaji mwanamke matured

Very risk unaweza kuokota jini,mshrikina,mchoyo,mchawi mtu ana roho mbaya tu..ivi Inakuwaje mkuu mtu wa kuish nae maisha Yako yote umchague mtandaoni Mimi sielewag kabisa wat hua wanafkiria nini
Wapo waliooana kutokea mtandaoni maana waliopo mtandaoni ndio hao hao waliopo mtandaoni hakuna tofauti yoyote ni mambo ya utandawazi tu
 
Yupo mtaani unamuona kwanini ujw huku shida inakua Nini,yaani ni kwanini uje huku ku risk wakt unaenda kanisani unawaona,mitaani uyu jamaa anasema anafanya kazi anaish nao kazini anawajua vizuri kbsa wengi Sasa kwanini uje huku
 
Sababu wa huku vitumbua vyao sio vya baridi ni vya moto
 
Sifa ya kwanza na ya mwisho zimewatoa mchezoni wanawake wa jf.
 
Yupo mtaani unamuona kwanini ujw huku shida inakua Nini,yaani ni kwanini uje huku ku risk wakt unaenda kanisani unawaona,mitaani uyu jamaa anasema anafanya kazi anaish nao kazini anawajua vizuri kbsa wengi Sasa kwanini uje huku
Udomo zege braza, sio kila mwanaume anaweza isimamisha pisi na akafanikiwa walau kuchukua namba.

Mwanaume kusaka pisi mtandaoni ni dalili mojawapo ya udomo zege.
 
Mkuu bila kukuvunjia heshima..kwanini mnatftafa wanawake humu mtandaoni,
Mbona mitaani,sehemu za ibada wamejaa kibao na unaweza kuchagua Kwa kumuona kabisa na ukamchunguza kama ivyo vigezo unavyovitaka anavyo,why unakuja huku mtu humjui hujui background yake tatzo linakua Nini..
Ndio hao hao wapo humu
 
Hello,

How are you guys, kama kichwa cha habari kilivyo jieleza, mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo

1. Mrefu mweusi
2. Umri wangu 30
3. Graduate, Christian
4. Muajiliwa/ nimejiajiri pia
,wala sivuti sigara, wala siendi club
5. Ninaishi Dar es salaam

Sifa za mwanamke nimtakaye
1. Uwe mkristo na usiwe na mtoto
2. Umri lazima uwe na 18 hadi 32
3. Uwe na shughuli za kukuingizia kipato
4. Msafi wa mwili na roho
5. Uwe na akili timamu, (hapa nakazia)
6. Usiwe mnywaji, mvutaji wala malaya
7. Akili kichwani hapa nirudie tena
Mmh asiwe Malaya ,sa utajuaje km sio Malaya?
 
Very risk unaweza kuokota jini,mshrikina,mchoyo,mchawi mtu ana roho mbaya tu..ivi Inakuwaje mkuu mtu wa kuish nae maisha Yako yote umchague mtandaoni Mimi sielewag kabisa wat hua wanafkiria nini
No formula,walioko mitandaoni ndo haohao walioko mtaani
 
Mkuu bila kukuvunjia heshima..kwanini mnatftafa wanawake humu mtandaoni,
Mbona mitaani,sehemu za ibada wamejaa kibao na unaweza kuchagua Kwa kumuona kabisa na ukamchunguza kama ivyo vigezo unavyovitaka anavyo,why unakuja huku mtu humjui hujui background yake tatzo linakua Nini..
Wangapi wameoa wanaowajua hizo background mwisho wa siku wamewatenda vby?
Wangapi wameoana ht hawafahamiani na wamedumu vzr?

Hili eneo hakuna Cha kumjua mtu background ila kumuomba sn Mungu ndo akwambie hapa sio au ndio!
 
Hello,

How are you guys, kama kichwa cha habari kilivyo jieleza, mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo

1. Mrefu mweusi
2. Umri wangu 30
3. Graduate, Christian
4. Muajiliwa/ nimejiajiri pia
,wala sivuti sigara, wala siendi club
5. Ninaishi Dar es salaam

Sifa za mwanamke nimtakaye
1. Uwe mkristo na usiwe na mtoto
2. Umri lazima uwe na 18 hadi 32
3. Uwe na shughuli za kukuingizia kipato
4. Msafi wa mwili na roho
5. Uwe na akili timamu, (hapa nakazia)
6. Usiwe mnywaji, mvutaji wala malaya
7. Akili kichwani hapa nirudie tena
Nenda kwa kina Mr Right
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom