Mimi ni mwanaume nahitaji mwanamke matured

Mimi ni mwanaume nahitaji mwanamke matured

drakeman

Member
Joined
Apr 20, 2025
Posts
19
Reaction score
21
Hello,

How are you guys, kama kichwa cha habari kilivyo jieleza, mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo

1. Mrefu mweusi
2. Umri wangu 30
3. Graduate, Christian
4. Muajiliwa/ nimejiajiri pia
,wala sivuti sigara, wala siendi club
5. Ninaishi Dar es salaam

Sifa za mwanamke nimtakaye
1. Uwe mkristo na usiwe na mtoto
2. Umri lazima uwe na 18 hadi 32
3. Uwe na shughuli za kukuingizia kipato
4. Msafi wa mwili na roho
5. Uwe na akili timamu, (hapa nakazia)
6. Usiwe mnywaji, mvutaji wala malaya
7. Akili kichwani hapa nirudie tena
 
7. Akili kichwani hapa nardia tena
Mkuu bila kukuvunjia heshima..kwanini mnatftafa wanawake humu mtandaoni,
Mbona mitaani,sehemu za ibada wamejaa kibao na unaweza kuchagua Kwa kumuona kabisa na ukamchunguza kama ivyo vigezo unavyovitaka anavyo,why unakuja huku mtu humjui hujui background yake tatzo linakua Nini..
 
Wee utamuwa mzee wa mbunyee
 
Kila la heri mkuu ila mtaani n kuzuri zaidi kuliko humu, humu unampa mtu nafasi ya kukuigizia maisha kulingana na hayo mahitaji yako.
 
Mkuu bila kukuvunjia heshima..kwanini mnatftafa wanawake humu mtandaoni,
Mbona mitaani,sehemu za ibada wamejaa kibao na unaweza kuchagua Kwa kumuona kabisa na ukamchunguza kama ivyo vigezo unavyovitaka anavyo,why unakuja huku mtu humjui hujui background yake tatzo linakua Nini..
Tatizo upwiru kichupa kimeshajaa hapo akishakojoa tu anasahau yote, ila wapo wanaoana kutokea mtandaoni ya MUngu ni mengi sana
 
Wanafunzi wa chuo baadhi yao mzazi anaweza kufa na presha kwa mambo wanayofanya

Huko IFM nasikia wa kiume nae..... Astakafirullah astakafirullah astakafirullah msiba mzito huu 😭
Wa kiume amefanyaje huko IFM?
 
Tatizo upwiru kichupa kimeshajaa hapo akishakojoa tu anasahau yote, ila wapo wanaoana kutokea mtandaoni ya MUngu ni mengi sana
Very risk unaweza kuokota jini,mshrikina,mchoyo,mchawi mtu ana roho mbaya tu..ivi Inakuwaje mkuu mtu wa kuish nae maisha Yako yote umchague mtandaoni Mimi sielewag kabisa wat hua wanafkiria nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom