Jamaa fursa hatuambii analeta malalamiko.Ushawahi kupata gawio?
Hivi gawio linagonganga mpaka kiasi gani?
Ova
Isije ikawa kama gawio ya makampuni ya simuJamaa fursa hatuambii analeta malalamiko.
Kiutendaji CRDB ipo vizuri zaidi ya NMB by FAR!!Gawio CRDB ni shs. 22 per share!
NMB gawio shs.127 per share!!
Je utendaji wa CRDB una walakini hata faida yao kuwa kiduchu hivyo kutoa gawio dogo?
Bora niweke zangu hela UTT, gawio kwa mwaka si ni 12% hadi 16%Kiutendaji CRDB ipo vizuri zaidi ya NMB by FAR!!
Usipende namba bila kupenda hesabu
Hisa moja ya NMB ni Tsh 2,400 kwa gawio la tsh 127 ni sawa na 5% (ROI) Ungekua umewekeza 1M faida ni 50k
Hisa moja ya CRDB ni Tsh 235 kwa gawio la tsh 22 ni sawa na 9.3% (ROI) Ungekua umewekeza 1M faida ni 93k
Nadhani nimeeleweka vizuri hapo. ikiwa unahitaji kuwekeza kimbia CRDB, NMB userekali mwingi bila hivyo hata faida wanayoipata isingekuepo.
Hulazimishi na mtu, ni wewe kuwekeza kweny unachoelewa.Bora niweke zangu hela UTT, gawio kwa mwaka si ni 12% hadi 16%
Mimi nimekuelewa sanaaa so ukinunua hisa 1 nmb nisawa na kununua hisa 10 CRDB na chenchi kubaki!!Kiutendaji CRDB ipo vizuri zaidi ya NMB by FAR!!
Usipende namba bila kupenda hesabu
Hisa moja ya NMB ni Tsh 2,400 kwa gawio la tsh 127 ni sawa na 5% (ROI) Ungekua umewekeza 1M faida ni 50k
Hisa moja ya CRDB ni Tsh 235 kwa gawio la tsh 22 ni sawa na 9.3% (ROI) Ungekua umewekeza 1M faida ni 93k
Nadhani nimeeleweka vizuri hapo. ikiwa unahitaji kuwekeza kimbia CRDB, NMB userekali mwingi bila hivyo hata faida wanayoipata isingekuepo.
Hakuna nilikolazimishwa. Kibarua chako hapo benki hakitaota nyasi kisa nimewekeza kwingine. Wewe mbona unashawishi watu wawekeze CRDB badala ya NMBHulazimishi na mtu, ni wewe kuwekeza kweny unachoelewa.
Huwa sina hulka ya kubishana, nachofanya ni kuonesha faida iliyopo kwa crdb tofauti na nmb ila kwa kuwa umeamua kuset mind yako kwamba nakushawishi ununue crdb basi nunua nmb ili uwe against na mimi then utakua umeshinda.Hakuna nilikolazimishwa. Kibarua chako hapo benki hakitaota nyasi kisa nimewekeza kwingine. Wewe mbona unashawishi watu wawekeze CRDB badala ya NMB
Mkuu samahani unasema kama mtu akiweka 1M gawio anaweza pata 50000 au 93000 hii ni kwa mwaka au mwezi?Kiutendaji CRDB ipo vizuri zaidi ya NMB by FAR!!
Usipende namba bila kupenda hesabu
Hisa moja ya NMB ni Tsh 2,400 kwa gawio la tsh 127 ni sawa na 5% (ROI) Ungekua umewekeza 1M faida ni 50k
Hisa moja ya CRDB ni Tsh 235 kwa gawio la tsh 22 ni sawa na 9.3% (ROI) Ungekua umewekeza 1M faida ni 93k
Nadhani nimeeleweka vizuri hapo. ikiwa unahitaji kuwekeza kimbia CRDB, NMB userekali mwingi bila hivyo hata faida wanayoipata isingekuepo.
Ni kwa mwaka, endelea kuuza vocha mkuu.Mkuu samahani unasema kama mtu akiweka 1M gawio anaweza pata 50000 au 93000 hii ni kwa mwaka au mwezi?
Kama ni kwa mwaka acha tu niendelee kuuza vocha maana kwa mwaka nitakuwa na faida kubwa kuliko 50000 au 93000.
Kuna namna nyingi za kufika 'mjini ' bro! Tumia unayoipendaMkuu samahani unasema kama mtu akiweka 1M gawio anaweza pata 50000 au 93000 hii ni kwa mwaka au mwezi?
Kama ni kwa mwaka acha tu niendelee kuuza vocha maana kwa mwaka nitakuwa na faida kubwa kuliko 50000 au 93000.