LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,510
We unadhani wakati Scorpion akiwa mwanafunzi alikuwaje ? THINK.
'am trying to be ant-scorpion.
Teh teh teh teeeeeh!!!
Naona umelauuuuumu walimu, haujaongelea chanzo hata kidogo, kwahiyo hapo bado sana kuelekea huko unakokutaka.
I wish ningeandika kitu fulani sema kitakuwa kirefu sana.
Ngoja nikitulia nitaandika.Andika tu binti....inaweza kuwa faida kwa wengine...
Ngoja nikitulia nitaandika.
We njoo tu.Walimu wamechachamaa kwenye huu uzi
.
Madame b Mtoto wangu anasoma kwenye Shule yako. Jumatatu nakuja twende one to one...tehe
Yaani changamoto ziko nyingi tu.Sisi waTz ni watu wa kuongozwa na matukio sana.
Toka hii issue imeanza inavyoongelewa ni kana kwamba ndio Mara ya kwanza kutokea
Na haitatokea tena.
Ukaguzi wa shule, vikao vya wazazi na waalim, kamati za shule, school baraza, vikao vya darasa.
Waalim wananyanyaswa sana na wanafunzi/ wazazi, waalim kuwanyanyasa sana wanafunzi, waalim kunyanyaswa na waalim wenzao, maafisa elimu, TSD, waratibu elimu n.k
Na wachangiaji wengi wameonyesha ubinafsi... Kila mmoja anasema angekuwa mwanangu ungenitambua......! " mtoto was mwenzio........"
We njoo tu.
Mie mbona sina tatizo na mashemeji na mabinamu zangu?
Sio kuchachamaa, tatizo humu watu wanajigeuza miungu watu, wanataka wanalofanya ndilo lisikilizwe.
Hakuna hiyooooo
hujafa hujaumbika,atakua mwendawazimu kama scorpion.na huko atapigwa tuu maana hakuna namnaMtawapiga haohao...mimi bado sijawa na mtoto wa kuja kufundishwa na wendawazimu kama nyie.
Akifikia huko nitampeleka shule za maana atakakofundishwa na sio kupigwa.
Mod delete huu uzi haijandikwa na mwalimu, haifundishi chochote.Wasalaamu wakuu!!
kwanza kabisa napenda kuwa omba mods wasiunganishe huu Uzi licha ya trend tuliyonayo, kwani Mimi ni mwalimu naomba nieleze nilivyo, yes waalimu tulivyo.
Napenda kutoa pole yangu ya dhati kabisa kwa mkuu wa shule kwa yaliyomfika, waalimu waliofikwa na janga na mtoto aliyepatwa.
maisha ya shule yana mengi, nadhani na pia ni hakika kuwa wengi humu tumepita shule ( ndio, hata la saba ni shule), Mimi kama mwalimu na kwa uzoefu wangu niliokaa kazini ningeweza kumwadhibu mtoto kama huyo wa mbeya kwa sababu zifuatazo;
(a) Ameonesha kunigomea mbele ya wanafunzi wenzake.
Kama kawaida hakuna mtu mzima yeyote ambaye anapenda kudhalilishwa mbele ya watoto.
Inatokea mwlm unataka kutoa adhabu kwa mwanafunzi eidha kwa kuwa ana kidemu chake darasani anaamua kuonesha dharau na migomo ya waziwazi. Hapo mi ambacho nafanya ni kupiga kama naua NYOKA ili wenzake wakiona wasijiingize kwenye kosa kama lake kamwe. HII INAITWA HESHIMA KWANZA, KAZI BAADAE.
(b) Mwanafunzi ameletwa Ofisini na Mwalm A ambaye anaonekana mnyonge au mpole hana makuu kwasababu hiyo mwanafunzi anamgomea adhabu eidha ya kupiga magoti au kuchapwa! wanafunzi wa aina hiyo Mimi huwa naomba SUB then naagiza mzigo wa kuni badala ya kupikia nabadili matumizi kwa manufaa ya ofisi.
(c) Nimetoka kwenye ATM nakuta mshahara Wangu umekatwa Tsh 60000 bila maelezo ya msingi, narudi shule nakutana na mtoto aliyeshindikana kwao kajichanganya mbele yangu hapo lazima ni convert tsh 60000 to 60000 sticks of coplar punishment.
Mnaojifanya kutetea humu wengi wenu hii kazi ya ualimu hamuijui au mnadhani kwa vile watoto wenu wanapenda shule, basi mnahisi ni wote dunia nzima.
Hakuna mwalimu kichaa hapa duniani ambaye mtoto hajagomea au kusumbua kupokea adhabu, atapigwa kiasi kile.
wito wngu.
waalimu wenzangu, pesa hatuna bado tunatafutwa kufungwa, unapopiga hakikisha kamera ya simu yako iko ofu.
Mpaka pale wanaotokwa mapovu hapa JF watakapowafunza maadili mema watoto wao na fimbo zitafutika zenyewe.
Kwa ukurya nilionao, ujinga darasani + ukorofi mwanao alionao, ACHUNGE SANA.
sio kila jukwaa jf was meant for anyone !! nenda huko MMU basi !! waweza onekana wa maana !!
Sasa wewe hutaki kupangiwa cha kuandika mbona unapanga walimu wasishinde jf utadhani jf ni yako
Hayo mabadiliko anza nayo wewe kwa kuanza kujifunza kuandika.....
Hujui chochote kuhusu ualimu we kaa celebrities forum tudiscuss mambo ya kina diamond na kiba basi
Unaonekana huna kazi basi gubu la kiswahili limekukaa!!
ulivyosema walimu hawajui kiingereza nikajua we unajua ! sasa wewe binti na vijiwe vya kahawa wapi na wapi !!