Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

walimu nyie!
ninawachukiaga sana, unakuta kosa halihitaji ata adhabu bali ni kumshauri tu mwanafunzi ila mnakimbilia kumchapa. ndo maana wengi wenu mnaishia kulalamika tu. Na kama mnamachungu na elimu sa kwanini mliishia kuwa walimu!
"Kwanini mliishia kuwa walimu?????"
Hivi mwenye elimu anapaswa afanye kazi gani eti?? Naomba nijuzwe hili.
 
Katika watu ambao hawajuagi kuandika humu lady YOU ARE AMONG na ni kiswahili tu kinakupiga chenga, hizo lugha za kigeni unazojua wewe ni zipi?
 
Mbona waonekana kama una jazba xana vip?hatukatai wanafunz kupewa adhabu lakin ziwe adhabu zenye kiwango na co kumpiga mwanafunzi ngumi au mateke,hili lililotokea mbeya halikubaliki hata kidogo.
.
Mzazi tu unaandika xana imagine mtoto wako atakuaje
 
"Kwanini mliishia kuwa walimu?????"
Hivi mwenye elimu anapaswa afanye kazi gani eti?? Naomba nijuzwe hili.
we ni mtoto mdogo sana hii battle huiwezi ! na wewe kuwa benki tella basi usijione umemaliza kazi !!
show me what you got mama!
 
we ni mtoto mdogo sana hii battle huiwezi ! na wewe kuwa benki tella basi usijione umemaliza kazi !!
show me what you got mama!
Jiongeze. Unanijibu mimi au huyo niliyemquote? Au hujasoma vzuri na kujua maana yangu?
 
Daah nimekumbuka enzi hizo nikisoma STD 6, mwalimu wa hesabu alikuwa anachapa fimbo kulingana na idadi ya maswali uliyokosa. Kuna mtoto alikosea maswali yote 30, alimchapa fimbo thelathini. Kudaadadeki.. binti aliacha na shule yenyewe.
Halafu ticha mwenyewe naye hesabu zilikuwa zinamsumbua vilevile, mikwara kibao. Basi kuelewa ilikuwa kazi kweli kweli.
 
Nashkuru kusoma kipindi cha mwinyi na mkapa......mambo hayo yalikuwa adimu sana.....
 


Heheheeeeee kituko cha mwaka, usinipangie nini na wakati gani niandike unayotaka kuyasoma.

Yaandike wewe usomwe...pita huko..

Unahasira na maisha yako wewe kuanza kuniandikia upupwu wote huo mie tu.

Haya uliyesoma wewe hongera jipigie vigelegele.
 
Duh aliyefanya ujue hivyo ni mwl, ni sawa na kumwambia mdingi mbona hukumkandamiza maza ningezaliwa kidume[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Walimu wangu walikuwa wanafikiria kuona wanafunzi wanawapaisha na sio wao kufunda kutafuta sifa kwa walimu wenzao.
 
Mwalimu naona una mambo mengi yanayokusibu hata kabla hujingia darasani. Mara umekatwa elfu 60, mara ukurya ulionao..
nakushauri nenda kaombe kazi feza international wakulipe kwa dola. Walahi hutakumbuka hata kushika fimbo. utakuwa unasomaga tu humu JF kwamba kuna kumpiga mwanafunzi mangumi na mateke.
 
Heheheeeeee kituko cha mwaka, usinipangie nini na wakati gani niandike unayotaka kuyasoma.

Yaandike wewe usomwe...pita huko..

Unahasira na maisha yako wewe kuanza kuniandikia upupwu wote huo mie tu.

Haya uliyesoma wewe hongera jipigie vigelegele.
sio kila jukwaa jf was meant for anyone !! nenda huko MMU basi !! waweza onekana wa maana !!
 
kwa hiyo we uko FEZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…