Basi kama kila mtu anachagua alichopenda basi tuheshimiane, bila huyo mwalimu ungechagua wapi hicho unachopenda!!Si kilamtu amechagua alichopenda jamaniii. Sasa lawama za nini. Kila kazi inasheria zake hakuna kazi isiyokuwa na sheria Duniani.
Kuna watoto tangia anaanza hadi anamaliza hajawahi kuguswa hata na mwalimu hata kumkaripia tu, watoto walio lelewa wakaleleka, sasa hii minunda inayokunjana na hadi wazazi wao eti uichekee!!!kwa watoto waliokulia katika familia za waungwana ni jambo la kawaida sana,nakumbuka mpaka miaka ya tisini,ulikuwa ukimnyooshea teacher ngumi,au ata kuashiria tuu umefunga ngumi,aisee watakuua,kichapo utakachokula,hata nyumbani hutakwenda siku hyo,maana unaweza ukapewa kibano kingine cha maana sana na mzazi,
Kuna watoto tangia anaanza hadi anamaliza hajawahi kuguswa hata na mwalimu hata kumkaripia tu, watoto walio lelewa wakaleleka, sasa hii minunda inayokunjana na hadi wazazi wao eti uichekee!!!
kuna siku nilimchapa mtoto eti akajiangusha na kujifanya kazimia, niwaambia wenzie wamlaze nje kwenye jua.....wee mbona alizindukaNdio hawa hawa, mitoto yao itiane huko mtaani ije kushtaki shule utadhani tumeungana nayo.
Kesi zinazoletwa na wazazi za kipuuuzi, kila kitu mwalimu, alafu leo inajitia kuwatoka ya kuwatoka na kututusi.
Sie ndio maana shuleni kwetu tumeamua tunadeal na kesi za shuleni tu, hizo za nyumbani wamalizane wenyewe nyumbani, tusichoshane bila sababu za msingi. Yaani washindwe wao malezi lawama watupe sie!!!
Akafa?kuna siku nilimchapa mtoto eti aka
Discipline master who says don't be naive that your daughter is safe in schools?Are you afraiding that I could be your daughter's teacher ?
molesting do not suit me !! am a descipline master !!!
hapana aliact kuzimiaAkafa?
Dogo mlaini halafu anajifanya nunda....Afu wale si wa BTP, wanapiga kiuoga uoga.
Angekutana na nunda kama mie niliepitia Tambaza, na JKT...sa hivi ningekuwa nakula ugali pamoja na Scorpion Segerea.
Mitoto ya kizazi hiki cha akina Diamond na Kiba ni viburi sana, kisa wote tunakutana Insta.
Kung'uta mpaka anamwaga uharo wa kiporo cha asubuhi
Umeongea kwa uchungu madam mpenda pesa, pole mweeKuna wanafunzi kama 10 hivi wa kdt cha nne(wawili hadi jela walishafungwa), hawa kwanza wangekuwa waache shule kabisa tokea kdt cha tatu, walimu tumehangaika kweli, wakarudi shule ila kila siku ni majanga,ni wavuta bangi na watumiaji wa miraa na virobakwenye mitihani wakiingia wanaandika majina tu then haoo wanasepa, wakitoka wanaanza kujisifia.
Tukaita wazazi, akaja mzazi wa mmoja tu nae alimpiga mwanae hadi mtoto kakimbia, akatuambia 'ndugu walimu kuanzia leo huyu sio mwanangu na hata mkiniita tena siji hata kwa mtutu'
Nikaamua kuubeba mzigo wa hawa watoto, kuongea nao nikakuta historia zao zinakaribiana wooote, wamelelewa ktk mazingira yasiyo na upendo kabisa, wengine wanajilea wenyewe, nikaanza nao councelling n other programs, nilijua wakibadilika atleast wawili itasaidia kuwabadili wote.
Mwisho wa siku wakabadilika ila ndio ile too late, now wanajutia hatari wanatamani angalau wapate cheti ila ndio labda Mungu atende miujiza.
Tunafanya kazi ngumu mno alafu mnakuja kuleta fyoko fyoko wakati nyie ndio chanzo cha hayo matatizo yote!! Msitegemee walimu tutende miujiza, badilikeni nyie mlee watoto wenu. Wengi watoto wanalelewa na mahouse girls wengine mtoto anaanza boarding akiwa chekechea, huyu upendo wa mzazi anaujua saa ngapi!!!
Hahahaaaaa!!! Yaani hawa watoto jamani full drama.kuna siku nilimchapa mtoto eti akajiangusha na kujifanya kazimia, niwaambia wenzie wamlaze nje kwenye jua.....wee mbona alizinduka
Hahahaaa!! Ahsante dota.Umeongea kwa uchungu madam mpenda pesa, pole mwee
Naona umechefukwaaaa kama mimi.Wapuuzi kiwango cha lami.
Wamelala, wasije tu Wakatuota tunawatembezea kerbu maana wanatamani kumeza walimu wote.Naona umechefukwaaaa kama mimi.
Afu wale vimbele front mbona sa hivi siwaoni?
Au walikuwa wanapima kina cha maji kwa toothpick?
Acha tu.Hahahaaaaa!! Yaani abutue baruti kwenye kipindi!! Haki hii mitoto ndio dizaini hii hii ya jf.
Wawalee watoto wao kabla hawajatuletea murder case, maisha yenyewe stress alafu eti mtoto wa mtu nae aniletee stress!! Nawaza pesa mie siwazi toto la mtu liloshindikana.Acha tu.
Afu mtoto kama huyu anayetaka kukuua kwa presha ndo unamuacha tu kihasara hasara, weeeee!!!
Hamna hiyo.
Ya Said wa Scorpion washasahau, wanaibuka na lingine.Dogo mlaini halafu anajifanya nunda....
Asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu ... Wale waalimu walikuwa wanamfunza huyo dogo. ...
Serikali inakomalia utafikiri yametokea mauaji ya kimbari
Atoto mwingine huyu anahitaji counciling. Kwa hayo maneno yake ya mwisho ungempa adhabu gani?Umeongea kwa uchungu madam mpenda pesa, pole mwee
Watumeze, tutawapasua matumbo yao tutoke.Wamelala, wasije tu Wakatuota tunawatembezea kerbu maana wanatamani kumeza walimu wote.