Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Hatuwapigi ili wafaulu, kwa sababu wafaulu wasifaulu sie hawatusaidii chochote
 
Wanasiasa wanapenda distraction, yaani watu wameuwawa dom wanasiasa wote kimya, kazi wanawasupalia waalimu tu, kwa kuwa ni wanyonge
 
Unikabe au unitukane then nikuangalie tu, pigeni kelele sheria ya kutimua shule mitoto mitukutu irahisishwe, ili tuwaletee mkae nayo wenyewe mtuache tupumue.
Sahivi mtoto hafukuzwi shule hadi bodi ya shule ikae wajadili, kwahiyo akikupiga January usubiri hadi bodi ikae November ndo wafanye maamuzi.... Si ujinga huu, heri apate stiki za kiuno akaugulie kwao
 
Yanawatoka tu ila laiti wangejua, hivi kuna kada inaongoza kwa kukimbiwa kama hii? Hawajiulizi ni kwa nini?
Tutaelewa na tu mdogo mdogo.
Si ndio wanavyosema kuwa heri waende private?
Asa huko sijui kuna malaika wa kheri wanawafundisha au wanafundishwa na mawaziri wao!
 
Sisi ni kama mazigo ya vinyesi.
Mvua, jua vyote vyetu mkuu
Mkuu

Naona wale Waalimu wamemuadhibu kistaarab...... Ingekuwa ni enzi zangu namtandika kichwa cha pua anamwaga kisusio....


Kisha namtandika fimbo sawa na idadi ya nywele zake kichwani...... Hapo lazima atubu dhambi zake zote

Wale jamaa wamemtandika makofi machache sana.
 
Hatuwapigi ili wafaulu, kwa sababu wafaulu wasifaulu sie hawatusaidii chochote
Nakumbuka wakati niko primary nafundisha, alikuja Barnaba boy kuja kusalimia walimu na kuwashukuru kwa kumfikisha hapo alipo.
Maana alisoma hapo.
Wachache wenye adabu hukumbuka walikitoka...hawa mamburula sasa wasiosikia la mwadhini ndo kutwa kuruka ruka kama pop corn kikaangoni.
 
Sahivi mtoto hafukuzwi shule hadi bodi ya shule ikae wajadili, kwahiyo akikupiga January usubiri hadi bodi ikae November ndo wafanye maamuzi.... Si ujinga huu, heri apate stiki za kiuno akaugulie kwao
Tena kwenye hicho kikao na afisa elimu mkoa awepo, huu si ufala.
Bado akifikishwa kwenye bodi bodi inakataa.
 
Afu wale si wa BTP, wanapiga kiuoga uoga.
Angekutana na nunda kama mie niliepitia Tambaza, na JKT...sa hivi ningekuwa nakula ugali pamoja na Scorpion Segerea.
Mitoto ya kizazi hiki cha akina Diamond na Kiba ni viburi sana, kisa wote tunakutana Insta.

Kung'uta mpaka anamwaga uharo wa kiporo cha asubuhi
 
Na ndio hawa kejeli kibao kwa walimu kisa kakalia kiti kinachozunguka, hakumbuki alikotoka. Anasahau hao hao waliofeli ndio walomfundisha hadi kufikia hapo alipo. Nyambafu kabisa.
 
Na ndio hawa kejeli kibao kwa walimu kisa kakalia kiti kinachozunguka, hakumbuki alikotoka. Anasahau hao hao waliofeli ndio walomfundisha hadi kufikia hapo alipo. Nyambafu kabisa.
Tena pumbafu zao mara mia.
Yaani humu kuna watu nilikuwa nawaona wa maana, ila nimewajua tabia zao za ndani kupitia uzi huu.
Mashwetani wekundu hao.
Bla bla nyingi wakati kutwa miamala kwao haisomi.
Watudharau ila wakae wakijua mwalimu ndio the first person kumtoa mtoto from zero to hero.
 
Are you afraiding that I could be your daughter's teacher ?
molesting do not suit me !! am a descipline master !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…