Huu utamaduni haukuwa strong kama wa Wazungu. Ulikuwa weak na mpaka leo tayari Western Technology imeovetake hii
Ukikuta dukani kunauzwa hizo nguo za migomba na gauni la Mtumba utanunua gauni kwasababu nyingi tu
Hongera kubwa sana kwa Wamasai kwa kuweza kumaitain Culture yao na imebaki kuwa Imara, kuanzia mavazi na lifestyle