Mimi ni muathirika wa UKIMWI

Mpendwa nimejalibu kuiludia mada sehemu aliyo bakwa haionekani zaidi ya kuona bibie alikuwa na hamu jamaa akatumia nafasi hiyo kumuambukiza.
Baadae nilipomuuliza kwa nini hakuita polisi ndo akanijibu alibakwa,alisahau alichokiandika kwenye thread yake mwanzoni kuwa alizidiwa manjonjo. Labda ARV zinamchanganya. Pole sana protein.
 
Zabron si jina lake halisi. Ameniumza sana. Kila nikijaribu kumsamehe ninajikuta ninalia.
Hapana usilie dada,,
kwasababu zifuatazo.

1:Imeshatokea huwezi kubadili,,chakufanya badili mtazamo kuhusu hali uliyonayo kwasasa
2:kubali kwamba ulifanya makosa alaf samehe yote yaliyotokea ukianza na wewe mwenyewe kujisamehe
3:Si wewe peke yako mwenye tatizo hilo
4:japokuw ndugu zako wanaku attack wasamehe tu tafuta friends wenye positive vibes wanaokujali wasiokukatisha tamaa

Alaf haya ni maisha tu na duniani tunapita.
 
Sema Protein nae alikuwa na hamu ndo maana akamruhusu. Wala hakumbaka bwana itakuwa alimlazimisha tu. Chezea utamu wewe.
Maisha ya Ulaya ni ya kishenzi sana ,Africa pazuri sana acheni tu yaani muda wowote unapata papuchi ...
Sasa huko Ulaya muda wote kiguu na njia kuosha mavi wazungu hapo bado usome ,ukichanganya na winter tabasamu tu unaweza usilitoe kwa miezi muda wa kuliwa / kula utautoa wapi ?

Hivyo sishangai dada wa watu kukolea kwa utamu

Kuna muda wengine tulikaa karibia mwaka atajumuonja bibi ponea yetu ikawa kwa Malaya wa kihindi kwenye kamji fulani kanaitwa Southhall kapo London katikati ya Ealing broadway na Hayes by Pass .
 
🤣😂🤣😂🤣😂 Poleni aisee. Maisha ya ulaya siyo kabisa ukiwa na sex drive kubwa pole yako.
 
Mkuu ushawahi kubaka nini?
Hahaha nilijua tu hili swali litafuata nina experience na mwanamke mmoja huyo bila vurumai hatoi bibi

Yaani yeye nyege zinampanda mkisumbuana alooo alikuwa ananitoa jasho nikawa namchukia ila baadae ukawa kama ugonjwa fulani nikienda kwa anayevua tu miguu chanu siskii raha kabisa
 
Baadae nilipomuuliza kwa nini hakuita polisi ndo akanijibu alibakwa,alisahau alichokiandika kwenye thread yake mwanzoni kuwa alizidiwa manjonjo. Labda ARV zinamchanganya. Pole sana protein.
Aisee comment hiyo sikuisoma nilikuwa nabishia Espy
 
Mkuu nilipima mwaka 2005 na baada ya hapo Zabron ndiye niliye lala nae. Mengine nimeongoa kama finzo
Its Okaay. Its just HIV kila mtu anaweza kuambukizwa ni ugonjwa kama magonjwa mengine.

Zingatia dawa na mlo bora.
 
Hahaha nilijua tu hili swali litafuata nina experience na mwanamke mmoja huyo bila vurumai hatoi bibi

Yaani yeye nyege zinampanda mkisumbuana alooo alikuwa ananitoa jasho nikawa namchukia ila baadae ukawa kama ugonjwa fulani nikienda kwa anayevua tu miguu chanu siskii raha kabisa
 
Protein njoo my ndugu. Ninakupenda na ninakuombea Mungu akutie nguvu. Kila nikiwa na ujauzito nikipimwa HIV huwa ninamwambia mme wangu "Hata walio positive kuna kipindi walikuwa negative"Hivyo tuishi maisha ya uaminifu na kumwogopa Mungu. Njoo utupe madini zaidi nina uhakika kuna waathirika watajifunza kutoka kwako.
 
Nenda tu peku peku na wewe utaanzisha wako
Pole mkuu jitaidi kuzingatia maelekezo ya wauguzi,mambele utapandikiziwa uboho kama una dolari utapona tu uzinduzi unaenda kwa kasi sana wa dawa.Usiombee watu wapate ili muwesawa.
 
Baadae nilipomuuliza kwa nini hakuita polisi ndo akanijibu alibakwa,alisahau alichokiandika kwenye thread yake mwanzoni kuwa alizidiwa manjonjo. Labda ARV zinamchanganya. Pole sana protein.
Nguvu ya sex isikie tu, baada ya kukojoa ndio unakuja kuwaza mm ni mjinga kiasi gani? Why nimemuamini huyu mdada...

Kwanini nimeloweka kwenye papuchi yake
 
Back
Top Bottom