Mimi ni muathirika wa UKIMWI

Halafu eti siku ya kwanza alibakwa lakini baadae wakawa wapenzi na mbakaji wake!
 
Member mkongwe uliyejoin leo

Point yako ni ipi?manake kama ulitaka kutufahamisha ni mgonjwa ungetufahamisha kwa ID kongwe tunayokufahamu

Ama ni case kama ya DaJane kwamba huyo kijana wa kiTanzania yupo humu?
Sijaiona point yako hapa!kila mara zimekuwa zikiletwa threads kwa IDs mpya kwa sababu maalum anayoijua mwenyewe muhusika wengine wakijisema ni mashoga wengine wakitaka ushauri kwenda kinyume na ndoa zao etc etc.

Siyo jambo rahisi mimi nitoke nakotoka niandike kwa id hii kwamba " Sir Mimi nimeathirika" mimi sijuani na mtu yeyote na siwezi kufanya hivyo humu ila huyu anaweza kuwa anajuana na hata wewe mwenyewe mnafahamiana.

Binadamu tumeumbwa na aibu lazima tulijue hilo.
 

Kama ulisoma comment ya kwanza ukaifikia hadi yangu ulitakiwa uendelee kusoma hadi aliponijibu muhusika!

Alinipa sababu na nilimuelewa
 
Huu udhi umenikumbusha mbali sana. Kuna kipindi Lemutuz alikuwa anatumia ID inaitwa Field marshal nadhani. Basi akaamua kuja na ID mpya Akijiita Willium Malecela akajitambulisha mwenyewe. Uandishi wake ulimtambulisha na kila mtu alochangia alisema field Marshal mzee wa masauti kaamua kujivua fekelo.
 
Kwa usimuliaji wako, mmmh. Ni kama dada mmoja maarufu sana humu mjengoni. Anyways, umetoa somo zuri sana mkuu.
 
Hata Sweden pia umeivent ?Ila nimeumia sana ndo maana huwa unashuka sana mambo ya receptors mkuu. How do you see your life in 5 yrs ?
@victoire upo smart sana, umefungua codes nyingi. Either bi-dada anadanganya au anabadili location na characters. Mwandiko wake nauelewa sana, ila sio la msingi sana hilo. Muhimu tu tumepata somo.
 
Hivi hiyo comment umeisoma yote? Hapo zipu mbovu inaingiaje? Alafu me sio mwanaume
Si ulikuwa na hofu ya majibu ya HIV? Alafu kuusu zipo mbovu haina jinsia mmoja tena KE ndio mnaongoza

Xoryy lakin kama nimekukwaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…