Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
KaahYawezekana na yeye alikuwa hajui kama anao pole sana Mkuu nikajua huku mbagala peke yake ndiyo wanyonge wanapata ukimwi kumbe hata huko Holm
Daah kweli Dunia ni Familia na sio kijiji tena
KaahYawezekana na yeye alikuwa hajui kama anao pole sana Mkuu nikajua huku mbagala peke yake ndiyo wanyonge wanapata ukimwi kumbe hata huko Holm
Daah kweli Dunia ni Familia na sio kijiji tena
Aah wapi nyie ndio wale mjipigwa romance ya nguvu, round ya pili unakubali mwenyewe akuingilie bila condomSi ungetumia condom,mimi siwezi kamwe shiriki tendo la ndoa kavu kavu na mwanaume ambae sijui historia yake. Tena anatokea Tanzania?????
I understand Now..Mkuu I was rapped on the first day.
Mwaka jana 2018 nilikutana na mwanaume wa ndoto zangu. Mtanzania, mzuri mcheshi msomi. Maongezi yalinoga sana. Tulikwenda dinner, mara ya pili tulikwenda picnic park. Siku nilipomkaribisha dinner nyumbani baada ya glass ya wine nilifinguka .
Yule kaka alikuwa hakustuka. Baada ya kuondoka aliniambia kwenye simu kuwa hataweza kunioa hivyo asinipotezee muda.
Niliumia sana.
Bush mkuu kuna jamaa wetu aliungua chanel za mjini zikakata na stress zikamzidia akaenda Bush mkuu hivi navyoandika hapa ameowa na anawatotoWapi huko
Hii ndio point yenyewe...Mtu anakurappe kwa nini usipige simu polisi? Sema hamu ilikuwa imekuzidia. Any way yaliyopita yamepita. Ishi kwa matumani.?
Kama immune system ni nzuri ndiyo, Mimi niliaza kusumbuliwa na ngozi, dermatologists alisema ni eczema kumbe ngwe ngwe bwana. Zaidi ya hapo I was just fine.Hivi inawezekana kweli ukaishi miaka 10 na ukimwi na usijijue?
Unaweza nipa direction PM na gharama kwa ujumla...Bush mkuu kuna jamaa wetu aliungua chanel za mjini zikakata na stress zikamzidia akaenda Bush mkuu hivi navyoandika hapa ameowa na anawatoto
Loliondo tapeli yuleee!!!Asante sana mkuu. Lakini tiba ninayopata ni nzuri mno. Nitabaki na dawa za hospitali tu. Mama yangu mdogo aliondoka baada ya kuacha dawa na kunywa kikombe cha babu wa Loliondo.
Hata kaka yangu anaeifahamu hali yangu ameomba nimuahidi kuwa sitaacha kunywa dawa.
Pole ndugu yangu, kwenye ujana tunapitia mitihani sana ukinusurika unamshukuru Mungu, mana idadi kubwa kabla ya ndoa kwenye ku date huwa tunajisahau na kujikutana tumewaamini watu tunao date nao tunajiachia huku hata kupima hatujapima. Nakumbuka nilipopata mchumba anataka kunioa akaniambia cha kwanza kupima uuuwi nilienda kwanza mwenyewe but still niliyakimbia majibu, uzuri nilienda na rafiki yangu nikamuomba akanichukulie mana mimi nilishakimbia nikamuacha pale hospitali, aliponiambia nimeyachukua uko Negative nilihisi kama kiumbe kilichozaliwa upya, baada ya kama mwezi nikaend tena hospitali nyingine this time peke yangu, nikakutwa negative ndo nikapata sasa nguvu ya kwenda kupima na mchumba wangu
Kama immune system ni nzuri ndiyo, Mimi niliaza kusumbuliwa na ngozi, dermatologists alisema ni eczema kumbe ngwe ngwe bwana. Zaidi ya hapo I was just fine.
Itakuwa ulikuwa kicheche... Halafu matumizi ya mpira huwa haupendi sana, eti?
Yes na CD4 zilishuka kishenzi zilikwa around 200 nilipogunduliwa lakini nilikuwa ninakwenda kazini kama kawaidaNdio miaka 10 mkuu?
Thank you sometimes holding a certificate doesn’t mean you passed the exam.
Kuna Mgonjwa wa Kisukari nilipo muona kwa mara ya kwanza nikajua ni cancer amekatwa vidole viwili vinatoa maji hatari alipo nambia ni sukari sikuamini Kuna magonjwa yana maumivu makali mno zaidi ya ukimwi.Ukimwi afadhali Kansas jamani watu wanateseka Acha kabisaa....ukikuta wagonjwa wa Kansa wanavyolia au kisukari achani jamani..
Dada Ukimwi upo lakini ishi kwa kuzingatia masharti tu
Zabron alikuja kusoma, alipenda maisha ya mteremko akapata shangingi la ki Zaire likamuweka Zabron ndani akipigia mahesabu ya uraia baada ya shule. Alipopata maambukizi kilinuka ndipo alianza kuwaambukiza wabongo. Habari ya kuoa bila kupima si alikuwa mtoto wa kigogo ametoka Ulaya nani amsumbue.Pole kwa changamoto hii.
Nimejarbu kufikilia kua ZABRON (JINA SI HARISI) Aliwezaje kuja nchi iyo bila kupima ngoma?na kama alipima waliwezaje kumruhusu kuingia uko.
Zabron alivyo rejea TZ unasema alikuja kuoa mwanamke mwingine kwa ndoa je makanisa yanafungisha bila kupima?kwanza
Mkuu I was rapped on the first day.