Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,079
Halafu eti siku ya kwanza alibakwa lakini baadae wakawa wapenzi na mbakaji wake!
Yaani ulikwenda kwa daktari baada ya kupata kazi?
Kuna utaratibu wa kupima ukipata kazi Sweden?Daktari ndio alikupa fomu?
Daktari umuambie tiki kote sina wasiwasi?Ndio alijibu una uhakika hauna ukimwi?
Prata sanningen. Det är inte så svårt att veta att du prata inte sanning..
Nimeandika kiswidish
"Sema ukweli.
Sio ngumu kujua kwamba husemi ukweli."
Sweden hamna utaratibu huo unaousimulia.Sweden hamna kitengo.Watu wote wanapimwa kwenye vårdcentral magonjwa yote.
Vårdcentral- Zahanati
