Mimi ni muathirika wa UKIMWI

Mimi ni muathirika wa UKIMWI

Pole sana jitahidi kufanya mazoezi,kula vizuri pia usisahau kumeza dawa,jiepushe na ngono zembe kuepuka maambukizi mapya pia kuambukiza wengine
 
Yeye ameficha ID yake ya zamani ambayo bila shaka ni ya uongo ila kaamua kutaja jina la mtu waziwazi!
Umeamua kutaja jina lake kabisa!!!
Cool down, mambo mengine yanayohitaji privacy potezea hasa kwenye hii mitandao ya kijamii.
 
Basi mkuu kauka, baadavya kupata maambukizi nilisoma few modules za infectioous diseases na sexual health pia daktari wangu amekuwa mshikaji sana. Huwa tunajadili dawa zangu kama anaongea na colleague wala hajali cost as far as I am happy.
Unamlipa daktari na upo Sweden?
Sweden hawalipii matibabu.Cost zipi unazoongelea?
 
Nafahamu hilo wala silipingi binafsi ninaushahidi usio na Shaka ndani yake kuwa watu wamekunywa miti shamba wakapona kabisa lakini madawa ya hospital yanakufanya uwe na muonekano mzuri wa kiafya kiasi kwamba mtu hawezi kuamini kuwa umeathitika

Lakini dawa za mitishamba nakuhakikishia zinatibu kabisa na wala hauto acha kunywa dawa zako za kila siku

Huyo babu wa Loliondo ni muovu muongo Shetani aliyesababisha vifo vya Watz wengi kutokea kwa kudai ndoto za kishenzi Mungu auvunje mgongo wake
Wapi huko
 
No kila kata inapewa fungu la budget, sasa kama kata yenu ina mahitaji mengi ya dawa ghali inamaana budget itafemea.
Kila Kata?Wacha uongo wewe. Huko kuna utaratibu wa matibabu unasimamiwa kikanda yaani Landsting.Hamna Kata inayopewa budget.
Unatia huruma kutaka watu wakuonee huruma kwa jambo la kuzua.
 
Ukimwi sio mwisho wa maisha, pokea hali yako then enjoy life! Pole though!
 
Hivi inawezekana kweli ukaishi miaka 10 na ukimwi na usijijue?
 
Back
Top Bottom