wapendwa katika bwana
nimetatizwa na kitu hapa,mimi ni mlokole nasali Efatha bible,nimejaribu kuomba na ku connect na baadhi ya wapendwa wenzangu lakini nahisi sikufanikiwa
ila imekuja kutokea nikaonana na mwanamke ambaye anasali roman catholic na tumependana sana japo sikutarajia wala sikua na plan yoyote ya kumwoa
naomba ushauri kwa yafuatayo:
kama nikioa mtu ambaye hajaokoka je nitaathirika kiroho?
je naweza kumuudhi mungu kwa hilo?
je maisha yetu huko mbele ya safari yatafika mbali?
je anaweza kuathiri wokovu wangu?
je naweza kwenda mbinguni?
je unafikiri naweza kumshawishi huko mbele ya safari akaokoka?

asant kiukweli mi uwa najiandikia namsukuru MUNGU kwa kupokea kwenu na kunitia moyo wote
Hekima ya Mungu ni ubaguzi maana fulani hasali sehemu fulani...Maajabu haya....Hebu niambie Yesu(Mungu) hatukumchagua sisi ila yeye alituchagua sisi bila ubaguzi, je alikuja duniani kwa ajili ya watu fulani...?
Ubaguzi ndo Yesu alituachia... ?....Kweli sasa nimeamini Upendo wa Agape ullikuwa kwa Yesu pekee.....
Una-propagate dhambi ya ubaguzi kwa kisingizio cha kuongozwa na Roho...
Pathetic Fool..
wapendwa katika bwana
nimetatizwa na kitu hapa,mimi ni mlokole nasali Efatha bible,nimejaribu kuomba na ku connect na baadhi ya wapendwa wenzangu lakini nahisi sikufanikiwa
ila imekuja kutokea nikaonana na mwanamke ambaye anasali roman catholic na tumependana sana japo sikutarajia wala sikua na plan yoyote ya kumwoa
naomba ushauri kwa yafuatayo:
kama nikioa mtu ambaye hajaokoka je nitaathirika kiroho?
je naweza kumuudhi mungu kwa hilo?
je maisha yetu huko mbele ya safari yatafika mbali?
je anaweza kuathiri wokovu wangu?
je naweza kwenda mbinguni?
je unafikiri naweza kumshawishi huko mbele ya safari akaokoka?
hivi ukipanda na daladala na mtu asiye okoka una athilika nini?
kuna tatizo hapa katika sisi walokole ni kwamba tunaamini katika kujitenga kwetu ndio tunamwabudu MUNGU vizuri na watu wengine ni wapuuzi.
tunashindwa kuelewa kuwa watu wote wameokolewa kwa DAMU YA YESU.
tunashindwa kukumbuka kuwa wajibu wa mtu aliyeokoka ni kuwafanya watu wote kuwa wanafunzi wa YESU. bali tunajiona dhamira yetu kuwa wanafunzi wa YESU peke yetu na wengine hawastahili.
japo si mahala pake lakini naimani naelekezwa niyaseme haya. na wengi tutakubaliana imefika wakati walokole hata tukienda magerezani kuwatendelea wafungwa tunaenda kutoa msaada si kwa kadri na shida na mahitaji ya watu bali tunatoa kwa walokole wenzetu tu.
hii ni shida.
back to major topic
kutoka rohoni ningekushauri ni bora usimuoe kwakuwa hofu ya ndoa yako naiyona ipo kwenye uroma wake, huu unaweza kuwa mlango katika kutotulia na ndoa yako kwni hujiamini na kibaya zaidi unaonekana unataka kuingilia uhuru wake wa kuabudu bila kushiriki zaidi katika maombi na roho wa MUNGU akamwongoza.
umeweka shaka kubwa kuhusu imani yake na unaonyesha ubaguzi na hauko tayari kumtayarisha kuwa mnyenyekevu kwa MUNGU akiwa ndani ya dhehebu lake na unaamini kwako ndio kuna wokovu zaidi kwahiyo hii ni shida umekwenda zaidi na akili zako na sio roho anavyokuongoza.
hivyo ingia kwenye maombi upate kibali usije ukarudi hapa ukatusumbua ili hilo gereza la dhehebu linalokuletea hofu liondoke.
pole inawezekana nimeonekana nimekuhukumu lakini halikuwa lengo langu na MUNGU anisamhe kama nimefanya hivyo lakin lengo ni kutoa mawazo ambao pia yanaweza kuleta upana wa uchangiaji.
Hapo kwenye red.....
Huu ndo ushetani nambario moja...Huyu Yesu ninaye muabudu hakuna mahali ansema nisifungamane na wasio amini...Hivi nikuulize swali wewe mwana mtoka kuzimu Yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi au watu wote...? Je Yesu alifungamamana na watu gani...Wema au waouvu....Wewe ndo ibilisi nambari moja na Mfarisayo ambaye Yesu alipata shida sana na nyiynyi watu...
Halafu huo mstari ulio u-quote nafikiri unapatikana kwenye kitabu cha Waroma....Sasa kabla ya kuonesha upumbavu wako jaribu kupitia hya mambo yafuatayo...
.Waroma walikuwa waatu gani....?
Kwaninin Mt. Paulo aliwandikia barua hiyo Waroma...
Jiografia ya Waroma katika kipindi hicho....
Usisome Biblia kwa kukurupuka ndugu HAo Wachungaji wenu makanjaja wamewajaza sumu....
This is y i hate religion but ilove jesus..calling others blind doest mean tht u got a clear vision..nyinyi walokole hvi kuokoka ndo kusalia uko kwenye hayo makanisa yenu??alokwambia waroma awajaokoka ninani?unauahakika baaada ya kuokoka kwako utendi dhambi?ama ndo painting a grave wakati ndani kumeoza?mwenye mamlako ya kuhukumu ni mungu tu..acheni hizo ..
I may be a fool to you, asante kwa hilo. Lakini kwa mwenye hekima ya Mungu, ushauri nilioutoa unaenenda sawa sawa na maandiko. Ushauri wangu ni rahidi tu, mtangulize Mungu katika kila jambo.
Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe.
Katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyosha mapito yako.
Usiwe mwenye hekima machoni pako; mche BWANA, ukajiepushe na uovu.
Itakuwa afya mwilini pako, na mafuta mifupani mwako.
~ Mithali 3:5-8

Unajua mkuu katika watu ambao huwa nawadharau kwa kiasi kikubwa ni Walokole...Hawa watu ni waajabu sana....Lakini nilichogundua ni kuwa hawa viumbe wa ajabu kichwani ni watupu mno..Wangekuwa na elimu ingewakomboa angalau...
mkuu nyenyere huyu jamaa tedo anasema anamwamini Yesu then anatukana watu name pia ni mhanga wa matusi yake. natamani ningemfundisha haya mambo lakini inaonekana ni roho nyingine hii. Maana mimi nimesema maandiko yanasema msifungiwe nira pamoja na wasio amini bana wee jamaa kaja kama moto wa kifuu hata bila kuuliza nini maana ya andiko hilo! msamehe bure tu.
wapendwa katika bwana
nimetatizwa na kitu hapa,mimi ni mlokole nasali Efatha bible,nimejaribu kuomba na ku connect na baadhi ya wapendwa wenzangu lakini nahisi sikufanikiwa
ila imekuja kutokea nikaonana na mwanamke ambaye anasali roman catholic na tumependana sana japo sikutarajia wala sikua na plan yoyote ya kumwoa
naomba ushauri kwa yafuatayo:
kama nikioa mtu ambaye hajaokoka je nitaathirika kiroho?
je naweza kumuudhi mungu kwa hilo?
je maisha yetu huko mbele ya safari yatafika mbali?
je anaweza kuathiri wokovu wangu?
je naweza kwenda mbinguni?
je unafikiri naweza kumshawishi huko mbele ya safari akaokoka?
hii dini huwa siilewi .RC..EFATHA..MLIMA WA MOTO..MZEE WA UPAKO..ANGLIKANA na madhehebu mengine HAWA WOTE NI DINI GANI?
Unaweza ukawa na Elimu hizo ulizotaja lakini ukawa bado hujaelimika...Ukawa bado upo kwenye ombwe la ujinga na fikra finyu.....Elimu ninayo iongelea hapa ni Elimu ya darasani ambayo inamtoa mtu katika ombwe la ujinga, ambayo inafungua akili ya mtu katika kuishi na watu vizuri, wachilia mbali tofauti za kidini, kiimani au kimtazamo.....Hakika kama utakosa yote haya utakuwa ni mtu wa ugomvi kila siku na chuki za kipu.mba.vu....Huwezi ukawa una elimu halafu unatetea utengamano kwa kisingizio cha dini.....Eti imeandikwa usichangamane na wasioamini....Ni Yesu gani huyo anayesema usichangamane na wasio amini....? Nyinyi watu nani kawalogaaaaWangekuwa na Elimu ya aina gani? Kuna maprofessor, Madoctor, MD wengi, je wanapungukiwa na nini?