Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

Nguvu ya kuinua chombo kutoka mwezini wakati wa kurudi ilipatikanaje?......zingatia huku duniani tulishuhudia lile dubwasha linavyoondoka kwa nguvu nyingi.....iweje mwezini inyanyuke kama ka mdudu?
Kuna rocket engine inatoa chombo mwezini mpaka lunar orbit then inapeleka chombo mpaka sehemu ambayo gravity ina takeover.
 
Habari wakuu

Leo nipo free uliza swali lolote la mawasiliano... nina uzoefu wa miaka mitano katika mawasiliano hapa NASA.

shukrani
Je Aliens wapo?! Je kuna Uhusiano wowote kati ya Aliens na NASA?1
 
hakuna uthibitisho wa uwepo wa alliens
Kuna baadhi ya watu hawa conspiracy theorists katika mitandao ya kijamii, wamekuwa wanazungumza kuhusu project leviathan na uhusiano wake na NASA, Je kuna lolote hapo? Unazungumziaje kuhusu hili Mkuu?!
 
Sifahamu kuhusu project leviathan lakini NASA wanahusishwa na conspiracy nyingi lakini ukweli ni kwamba mara nyingi hakunaga ukweli wowote sisi tupo ethical and technical.
 
Habari wakuu

Leo nipo free uliza swali lolote la mawasiliano... nina uzoefu wa miaka mitano katika mawasiliano hapa NASA.

shukrani
Rocket zilizorushwa miaka ya 60-70 na ambazo bado zinasafiri anga za mbali,zinatumia technology gani kuwa controlled ama mmazimonitor vp?
 
Kule reddit ukitaka kupost AMA(Ask me Anything) lazima mods wataomba uthibitisho flani wa hicho kitu unachodai kuwa,

Mods wa huku hawawezi,

Sasa kwanini unaleta hii thread bila uthibitisho wa aina yeyote, unategemea tukuamini vipi?
 
Back
Top Bottom