Mkwawa mnyalukoro
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 232
- 136
huo mkopo hauna furaha kama unaweza kumaliza bila kupata kaza umalize deni lake ni hatari kuliko faida unazoona sasa hiviWakurugwa naomba kuuliza Mimi ni mwanafunz ninayeingia MWAKA Wa pili sasa MWAKA Jana sikupata loan HESLB lakin MWAKA huu NIMEOMBA TENA JE NAWEZA KUPATA?Je kuna continues student ambaye alishawah kupata humu ndani?
Naona WATU wanadai eti mkopo kipaumbele ni first year tu
Eti yuko chuo kikuu, Mungu tusaidie, kwa hali hii kazi za maana watachukua wakenyahata kama kiingereza sio kipimo cha intelligence ila ndio uandike continues student?
Bado hatujafika huko...sasa hivi cha muhimu ni connection tuEti yuko chuo kikuu, Mungu tusaidie, kwa hali hii kazi za maana watachukua wakenya
kwahiyo mchango wako utoi?Continues student! Ndio maana ulinyimwa mkopo.
Continuing student bwana...progressive ya wapi! Hahahaha wabongo na hii ngeli itatumalizaWw ni progressive student cyo continues student
Naona Anko unamuweka sawa mwenzio kdgContinuing student bwana...progressive ya wapi! Hahahaha wabongo na hii ngeli itatumaliza
Wachukue mara ngapi?nenda pale kwa azam managers karibu wa kila kitengo ni wakenya.Eti yuko chuo kikuu, Mungu tusaidie, kwa hali hii kazi za maana watachukua wakenya
Ww ni progressive student cyo continues student
Hiii ndo tatizo la kusoma shule za kataprogressive hiyo kwio
Tatizo ni kukaririNaona Anko unamuweka sawa mwenzio kdg, inapendeza watu kusaidiana
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu ulivyo kosoa ni kama vile unajua, ujui chochoteContinuing student bwana...progressive ya wapi! Hahahaha wabongo na hii ngeli itatumaliza
Mkuu ni kweli mimi nimesoma shule ya kata ila at least najua kuwa mwanafunzi huyu anaitwa continuing student. Lakini wewe hiyo English medium yako imekusaidia nini kama mambo madogo tu haya yanakushinda?Hiii ndo tatizo la kusoma shule za kata
Wakurugwa naomba kuuliza Mimi ni mwanafunz ninayeingia MWAKA Wa pili sasa MWAKA Jana sikupata loan HESLB lakin MWAKA huu NIMEOMBA TENA JE NAWEZA KUPATA?Je kuna continues student ambaye alishawah kupata humu ndani?
Naona WATU wanadai eti mkopo kipaumbele ni first year tu