Mimi ni continues Student nimeomba mkopo nitapata kweli?

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
205
225
Wakurugwa naomba kuuliza Mimi ni mwanafunz ninayeingia MWAKA Wa pili sasa MWAKA Jana sikupata loan HESLB lakin MWAKA huu NIMEOMBA TENA JE NAWEZA KUPATA?Je kuna continues student ambaye alishawah kupata humu ndani?

Naona WATU wanadai eti mkopo kipaumbele ni first year tu
 
geniusMe

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
1,192
2,000

huo mkopo hauna furaha kama unaweza kumaliza bila kupata kaza umalize deni lake ni hatari kuliko faida unazoona sasa hivi
 
Da Gladiator

JF-Expert Member
Aug 3, 2020
1,031
2,000
Mkuu nimeona hicho 'kimombo' nimegundua wewe ni ndugu yake wa damu na mkuu wa pale Dom,

Back to the point, mkuu mkopo hupati kama huna huna 'Connection' maana Serikali haina 'pesa' , na haitakuwa na pesa maana watatumia pesa nyingi kuingia madarakani.

Au hujaona picha za 'Ukerewe ???!'
 
Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
1,874
2,000
bongo noma. ivi mwaka mpya wa fedha waliopata asilimia chache je kuna uwezekano wa kuongezewa hata kidogo?
 
Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
53,929
2,000
Hiii ndo tatizo la kusoma shule za kata
Mkuu ni kweli mimi nimesoma shule ya kata ila at least najua kuwa mwanafunzi huyu anaitwa continuing student. Lakini wewe hiyo English medium yako imekusaidia nini kama mambo madogo tu haya yanakushinda?
 
Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
14,712
2,000
Wakurugwa naomba kuuliza Mimi ni mwanafunz ninayeingia MWAKA Wa pili sasa MWAKA Jana sikupata loan HESLB lakin MWAKA huu NIMEOMBA TENA JE NAWEZA KUPATA?Je kuna continues student ambaye alishawah kupata humu ndani?

Naona WATU wanadai eti mkopo kipaumbele ni first year tu

wapo watu walipata mwaka jana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom