Ingia kwenye dictionary angalia nini maana ya progressive studentMkuu ni kweli mimi nimesoma shule ya kata ila at least najua kuwa mwanafunzi huyu anaitwa continuing student. Lakini wewe hiyo English medium yako imekusaidia nini kama mambo madogo tu haya yanakushinda?