Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Mm sijamuelewa bado kaniacha mdomo wazi
Mm sijamuelewa bado kaniacha mdomo wazi
Kwa hili jibu kweli hupendi masihara.Ni wapi nimesema natafuta rafiki?acha upimbi
Sent using IPhone X
Hapa kwangu atakaa. Mimi ndio savage wa JF aulize kabla hajajaribu.Jamaa anakulima za uso fasta[emoji23][emoji23]
Ngoja ajeHapa kwangu atakaa. Mimi ndio savage wa JF aulize kabla hajajaribu.
Acha yeyeKwahyo unataka marafiki au nini?!
[emoji23] na ww unatoa za uso?!Acha yeye
Mimi ndio, Nahitaji marafiki
Somehow Nipo kama yeye
I would like you to be the first
Unauzaje hizo simu used na hali hiyo?
Pimbi mwenzangu ni hv
Kama hautafuti, basi sikuingine usilete shida zako humu
Mm sijamuelewa bado kaniacha mdomo wazi
Naona dishi lako limeyumba unajiona timamu kukaa unabishana upuuzi ,,, egotism zakifalaNi wapi niliposema nataka unielewe!?usiwe kunguru
Sent using IPhone X
Kama ulizaliwa mirembe pia sikulaumu huenda nabishana na chizi na upweke unakuzuzuaKama ulizaliwa njiti usilete ujuaji hapa
Sent using IPhone X
Na uchoyo unamsumbuaBac utakuwa ww ni zimwi..ww miyeyusho unazingua pia una tabia za kibinafsi...badilika fasta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona dishi lako limeyumba unajiona timamu kukaa unabishana upuuzi ,,, egotism zakifala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah mungu wa ajabu sanaUmeitwa uchangie uzi YouTube wewe
Sent using IPhone X