Mimi ni binadamu nadra sana kupata Rafiki

Mimi ni binadamu nadra sana kupata Rafiki

Ni hali ya kawaida,me enyewe nko ivyo japo kila mtu ata kuona kivyake, utaonekana mpole, mkali kupitiliza, usiye na furaha,mwenye dharau,usiyejiamini na wengine wanaweza sema ww ni Shushushu wa Usalama wa Taifa
 
Back
Top Bottom