Mimi ni binadamu nadra sana kupata Rafiki

Mimi ni binadamu nadra sana kupata Rafiki

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Kutokana na lifestyle yangu imeniwia vigumu sana kuna na marafiki hasa sipendi marafiki mizigo
1:huwa nipo serious sana kiasi kwamba ni ngumu mtu kunizoea kirahisi hasa mtu mgeni
2:Mimi sio muongeaji wala sio mcheshi kabisa!
3:Sipendi kutoka out wala kufanya starehe yeyote zaidi ya kwichikwichi
4:Sipendi kufatilia habari zozote za Instagram na Fb
5:Sipendi kujichanganya kama sina issue nashinda ghetto tu nimelala
6:Sipendi magroup ya WhatsApp yasiyokuwa na tija
7:siwezi kuna na mahusiano na mtu yeyote kama mimi sifaidiki na huo uhusiano ama wote tufaidike kwa pamoja
8:Sipendi utani kwa namna yoyote ile ile habari ya kuitana mngese n.k sina


Sent using IPhone X
 
Chai,, Marafiki unao wengi tu sema hushirikiani nao kwenye mambo mengi. Rafiki si lazima mfanye hayo uliyoyataja. Hata huu uzi umeleta ili sisi marafiki zako wa jamii forum tukosoe na kusapoti.
 
Back
Top Bottom