Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
video zote naziweka jukwaa la kikubwa. asiye na access haoni. baada ya Evelyn Salt kwenda singida, Slave alibaki anajisavia Arabela. nayo naiweka hapa. Jiwe linalo ishi alivyokua anapanga kuupindua uongozi wa jf. nayo ntaiweka hapa. atakaye nitishia maisha namsema kwa Invisible. mia
Kwani ile Clip ulioiletaga kipindi kile ya Bishanga kafumaniwa na yule mdada Joy wa Tabata, ndiyo huyuhuyu Paloma? Au ni miamala miwili tofauti?
Last edited by a moderator: