mimi ndiye bukoba boy wa youtube

mimi ndiye bukoba boy wa youtube

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,184
Reaction score
64,571
baada ya kutoka na single ya maswala ya siasa sasa nakuja na;
1.jinsi INNOVATOR anavyo panga kumpiga ban ya mwaka Arushaone,
2. manoah alivyo kua anagegedana na marejesho.
3 Madame B na Slave wakiwa bafuni uchi wa mnyama.
4. Bishanga alivyo fumaniwa na Paloma kule kebby's.
Hizi movie zote zinaonyeshwa dakika 19.mna swali? mia
 
Last edited by a moderator:
figganigga unakumbukia wapi hii...

ila hizo tuhuma ni nzito ngoja wenyewe waje.mia
 
Last edited by a moderator:
ulitaka uwe wewe!!!!!!!!!!mmmmxniiiiuuuuuuuuuuh!! wivu tuuu!!!
cc Bishanga
 
video zote naziweka jukwaa la kikubwa. asiye na access haoni. baada ya Evelyn Salt kwenda singida, Slave alibaki anajisavia Arabela. nayo naiweka hapa. Jiwe linalo ishi alivyokua anapanga kuupindua uongozi wa jf. nayo ntaiweka hapa. atakaye nitishia maisha namsema kwa Invisible. mia
 
Last edited by a moderator:
mkuu figganigga ama kweli umeamua, nilivyokimbila kuona kuna nini huku! sasa unaonaje ukiitafuta na video ya C.T.U na Spike Lee wakiongea na Bishanga kuhusu maendeleo ya CC... LOL
 
Last edited by a moderator:
.mia ah ah ah! mzee jumamosi utakua wapi.mia
dah! jumamosi ntakua home. unataka tukacheze dat? sikuile ulinambia wewe ni mtalaam wa draft nlipokuambia uje pale sigon nikupuge #super ukaogopa. jumapili baada ya kutoka church ntakua free zaidi kuliko jmosi. mia
 
ah ah ah! Dat lipo? jumapili nitakutafuta nikugalagaze.mia
dah! jumamosi ntakua home. unataka tukacheze dat? sikuile ulinambia wewe ni mtalaam wa draft nlipokuambia uje pale sigon nikupuge #super ukaogopa. jumapili baada ya kutoka church ntakua free zaidi kuliko jmosi. mia
 
.mia ah ah ah! mzee jumamosi utakua wapi.mia
dah! jumamosi ntakua home. unataka tukacheze dat? sikuile ulinambia wewe ni mtalaam wa draft nlipokuambia uje pale sigon nikupuge #super ukaogopa. jumapili baada ya kutoka church ntakua free zaidi kuliko jmosi. mia
 
ah ah ah! dat nitakugalagaza sana mkuu! Huo mchezo nilianza kuucheza nikiwa na miaka 8 .mia

njoo na rafiki zako muwe mnasaidiana sababu mimi naucheza utafikiri robot. michezo yote natisha. ntakuangalia kiwango. nikiona una kiwango cha kati ntamwambia Madame B au mathematics ndo waje wakufundishe!..hahahaaa...!!!. mia
 
Last edited by a moderator:
ah ah ah! unanitisha? angalia usije nikimbia .mia
njoo na rafiki zako muwe mnasaidiana sababu mimi naucheza utafikiri robot. michezo yote natisha. ntakuangalia kiwango. nikiona una kiwango cha kati ntamwambia Madame B au mathematics ndo waje wakufundishe!..hahahaaa...!!!. mia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom