Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
safari ya wapi ambapo jf haishiki? atakuja anakuta madudu yenu hapo front page. mia
yani umetuharibia sifa zetu
safari ya wapi ambapo jf haishiki? atakuja anakuta madudu yenu hapo front page. mia
hahahaaa...!!!m hiyo ndo nia yangu kuwaharibia sifa. zunguka mbuyu tuelewane. miayani umetuharibia sifa zetu
Ntakuchapa!
baada ya kutoka na single ya maswala ya siasa sasa nakuja na;
1.jinsi INNOVATOR anavyo panga kumpiga ban ya mwaka Arushaone,
2. manoah alivyo kua anagegedana na marejesho.
3 Madame B na Slave wakiwa bafuni uchi wa mnyama.
4. Bishanga alivyo fumaniwa na Paloma kule kebby's.
Hizi movie zote zinaonyeshwa dakika 19.mna swali? mia
Ehuwwwwwwuuuuuuu! Asvali sipo kwenye huu mtanange figganigga kila la heri mimi napita naenda shamba wazima lakini?
m waitng 2 c u naked shem hahaaaaa!
Usinge nibania enzi tupo chuoni ungeniona
ulivyokua mwembamba kama
skeleton ningeona nn sasa!
ah ah ah! Ungeona ambacho ungeona, na nipo vile vile tena sasa ivi nimezidi kukonda
utakua unaumwa hahaaaa!
ndo usubiri maajabu. hutaamini macho yako. miaMkuu figganigga kitu usichokijua ni kuwa INNOVATOR hatonipiga ban simply kwa kuwa tulisoma wote primary enzi zile za ukoloni. Basi nichukue fursa hii kukupa pole. . .try another person please.
ndo usubiri maajabu. hutaamini macho yako. mia