Jamii forum kila mtu mtakatifu.............!? mliocomment wote mnataka kuniambia hamjawahi kuvitafuna hivyo vitoto...!!!!!. Acheni maigizo bwana, kila siku mnawaharibu watoto wa watu leo mnajidai watakatifu...!!!. BTW, mleta mada, wachukulie kama watoto/wadogo zako, muombe Mungu sana akusaidie kushinda hilo jaribu. Kama hujaoa, tafuta mke na fuata taratibu zote kisha oa mke wako mwenyewe. Mpende mke wako kama nafsi yako, hayo mengine itakuwa historia.