Mimi natafuta mchumba nipo serious

Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia
Vigezo serious awe handsome wa kiasi .
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Awe anafanya kazi kaajiriwa .
Elimu Anizidi mimi na Diploma .
Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani.
Asiwe mzubavu awe anachangamkia maisha .
Sipendi mtu mkimya sana nasipendi wambeya .
Akiwa arusha ni raha zaidi.
Kama ni mikoa mingine awe anauwezo wakuja Arusha.
Asiwe mchungu .
Na asiwe mchoyo na asipende kuweka siri .
Jingine asiwe mlevi ., awe anahofu ya Mungu.
Awe mkristo ila asiwe anasali kwenye makanisa ya kilokole nataka haya makanisa yanayotambulika , katoliki , lutheran , anglikana ila haya makanisa yasiotambulika awali hapana.
Nipewa hii na ndugu yangu nisaidie kupost yeye ana 30 sitaki midomo .
Kalale .
Hivi vigezo kama mtu una apply viza ya Australia
 
Cheki na kingai au captain urio utapata mchumba
 
Hizi sifa zotee ziwe kwa mwanaume mmoja?
🤔🤔🤔🤔

#YNWA
 
Mimi ni muosha maiti. Nina digrii ya social science lakini sikupata kazi niliyosomea.

Kazi ya mortuary attendant ina hela sana, kuna maiti tunaosha hadi kwa laki tano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom