Mimi nashauri CHADEMA ifutwe

Mimi nashauri CHADEMA ifutwe

Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
Una umri gani?
 
Hiv msajili wa vyama yuko likizo,
mbona hakemei uhuni wa vyama kuandamana bila kibali na kusababisha taharuki.
 
Acha mawazo mgando tuna hasira kwa yaliyotokea
 
Cdm wanataka kutawala kwa mabavu ndo shida yao. Ila ijulikana kuna mtu kashika mpini hivyo inabidi uende kwa akili japo ukiwa unampinga, sais hawaaminiani wao kwa wao, kila mtu anamwona mwenzake msaliti. Yaan hapo ndo wanzo wa lichama lao kufa
 
Acha ujinga usiongee kama mtu aliyebanwa mavi.Yesu mwenyewe aliwaambia mayahudi kama nikikaa kimya mawe yataongea lazima kuwepo na upinzani ili kuidhibiti na kuikosoa serikali haijalishi nguvu yao yatosha mtu mmoja akaona makosa na asinyamaze mradi anenayo ni kweli pasipo na upinzani hata wewe mwenyewe mleta uzi huwezi kuishi kwa amani,tunachukulia poa lakini upinzani ndo sauti ya wanyonge je wasioweza kusema nani atawasemea? kuliko kuwa na serikali ya chama kimoja chenye kutumia madaraka vibaya kwa kuvunja sheria ni bora aje mzungu atutawale tena.lengo la upinzani si kuchukua nchi tu pia kutusemea sisi wanyonge.ngoja siku uzikwe halafu ndo utajua umuhimu wao.
 
Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?

Njaa imekupanda kwenye ubongo na hata ufanyeje kamwe hutopata uteuzi
 
Hapakuwa na haja kuitisha uchaguzi, halafu mnalazimisha ushindi. Mmeitisha uchaguzi wa nini sasa.
Mngeteua tuu mtu wenu mnaemtaka mumtangaze. Na sie tungeridhika tuu,
Yanini kukereheshana kumwaga damu, kupotezeana muda. Hali mna yenu mmepanga.

Ccm ni janga la taifa
 
Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?

Mkuu acha ukichaa

Futeni vyama vyote vya upinzani tu...

Una kichaa sana ukidhani ukikifuta Chadema,wale wanachama wake wote watahamia CUF tu..tatizo ni palepale.

Cha maana uue watu wote wa upinzani...

Yaani wewe jamaa yaelekea shule ulipata sifuri masomo yote.Na hii ni picha fulani sahihi kabisa ya members wa CCM kama wewe!

Tumia ubongo tu!
 
Kuna nafasi za uteuzi zimebaki ?.Hata wakati wa JKN walikuwepo wapumbavu kama nyie waliowashabikia wakoloni weupe,sioni tofauti na wewe unayeshabikia wakoloni weusi.Tofauti yenu ni rangi tu tabia zenu Nafuu ya wakoloni weupe
 
Mkuu acha ukichaa

Futeni vyama vyote vya upinzani tu...

Una kichaa sana ukidhani ukikifuta Chadema,wale wanachama wake wote watahamia CUF tu..tatizo ni palepale.

Cha maana uue watu wote wa upinzani...

Yaani wewe jamaa yaelekea shule ulipata sifuri masomo yote.Na hii ni picha fulani sahihi kabisa ya members wa CCM kama wewe!

Tumia ubongo tu!
Wafute mpaka hicho Chama Cha mauaji kujali hakuna Chama chochote cha Siasa.Tuwaite wakoloni warudi kututawala
 
Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
We mpumbavu kabisa hujitambui bado
 
Ndio yawafanya muuwe?
 
Ccm na policeccm ndio wafutwe ...kuanzia leo kiitwe chama cha mauaji
85a48f2834f071ab9c22d236c06eb62d.jpg
 
Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
Futeni vyama vingi tubaki na chama chenu
 
Mungu akusamehe kwakuwa hulijui ulinenalo
Mungu ampe stahiki yake. Huyu ndiye anavuruga mnara wa babeli. Katumwa jiwe kaleta maji.

Ila ipo siku wenye akili kama za huyu mtoa mada watajificha nyuma ya kigoda.
 
Sasa ukiifuta CHADEMA wanachama na wafuasi wake si wataanzisha chama.kingine? Au nao utawafuta?
 
Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?

KWANI HII NCHI YA BABA YAKO hadi utupangie cha kufanya???
 
Back
Top Bottom