Mimi nashauri CHADEMA ifutwe

Mimi nashauri CHADEMA ifutwe

Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
Mie nakushauri; rudi kwa dr. wako akubadilishie dawa zako za maradhi ya kichwa kwani unazotumia kwa sasa zimejenga usugu na ukichaa unazidi kukomaa.
 
Bw.Pascal Ndege utakufa utaiacha Chadema hata wakoloni walitakankuifuta TANU badala yake waliondoka wao
 
Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
Wazo zuri kwa kuwa uliyelitoa una kiwango kidogo sana cha akili
 
Haujapona bado
 
Cha Arusha ... !!! Kimemchukua hatare !!!

Afu zero weeee!!! kaaazi kwelikweli, yaani Hapo Kama anaota vile ...
Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
 
Litakuwa jambo jema sana walahi!
ENOUGH OF CHADRAMA WALAHI
 
halafu mkuu hii thread uliandika ukiwa umechuchumaa chooni unakata gogo eeeh...😳😳
 
Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
"Tabula lasa"
How old are you?
 
Kwanini wewe usifutwe kwanza maana Ni mbinafsi usieheshimu mawazo tofauti. Kipaji nilichokuona nacho ni upumbavu
 
Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
Kwanini wafe niwapi uliona haki ikitendeka watu wanakufa
 
Vile ule uchaguzi wa ukonga unafanyika lini
 
Umekula maharagwe ya wapi?
 
Huyu bwana ndege katumwa ila huo upuuzi siyo mahali pake peleka huko kwa waswahili wenzako jf ni ya wasomi wanajielewa. Kapambane na hali yako 🙂 🙂!!!
 
NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi.
Washamba na limbukeni mna taabu sana! Kwa kuvuruga lugha hamjambo...iwe Kimombo, Kiswahili au hata Kisukuma, ni kuvuruga tu mtindo moja.
Nipe jibu la maana ya uhuru. na unipe evidance mahari gani fujo imekuwa suluhisho la matatizo popote duniani.
Na kweli, ukichaa umekomaa. Kila mahali lugha inavurugwa...evidence nyingine hiyo hapo juu.
 
Back
Top Bottom