Mimi nashauri CHADEMA ifutwe

Mimi nashauri CHADEMA ifutwe

Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
Hapakuwa na haja kuitisha uchaguzi, halafu mnalazimisha ushindi. Mmeitisha uchaguzi wa nini sasa.
Mngeteua tuu mtu wenu mnaemtaka mumtangaze. Na sie tungeridhika tuu,
Yanini kukereheshana kumwaga damu, kupotezeana muda. Hali mna yenu mmepanga.
 
Vifo kwenye maandamano ya Chadema ni kafara. Mjanja yeyote akisikia maandamano ya Chadema anakaa kando asijekuwa kafara. Morogoro, Iringa, Arusha, Dar ni kafara tupu. Imefikia hatua Mbowe anaombea siku mojaKinondoni iwe majivu!!
 
kwa akili zako fupi unadhani wakimalizana na hao chadema wataishia hapo binadamu huwa haridhiki wakitoka hapo watakujahadi kwa wapuuzi kama wewe kisha watamalizia ndani ya chama chai wenyewe
 
Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?

Kaka demokrasia katika nchi za afrika sio kitu rahisi,ukizingatia kuna watu kama wewe mpaka leo amuelewi demokrasia ni nini!!hasa ukizingatia mlitawaliwa na chama kimoja kwa muda mrefu kwa hiyo akili zina bado ni mgando. Huwezi kufuta upinzani kwa kuwa unaogopa fikra zako kuwa-challenged, tunaishi katika dunia ambayo ili tupate maendeleo ya kweli hatuwezi pia kukwepa demokrasia ya kweli.
 
alaf hapo unaambiwa bado vurugu hazijaanza zikianza wananchi kujichukulia hatua mkononi juu ua huu udikteta utasemaje
MI NAONA BORA VYAMA VYOTE MPAKA CCM VIFUTWE ABAKI MAGUFULI TU NO WAY.
 
CCM ni wauaji tu. Kama ulikuwa haujazaliwa, elewa kwamba mwaka 2001, CCM na vyombo vyake waliua makumi ya Wapemba kule Pemba na mamia wakakimbilia Kenya kama wakimbizi. Mtu yeyote mwenye akili kidogo anajua nani amesababisha kilichotokea katika chaguzi mbili zilizopita. CHADEMA wameomba barua za mawakala kwa wiki 2 bila kupewa. Na walipozipata katika dakika za mwisho, walipewa feki. Halafu unataka kuaminisha watu kuwa ni tatizo la CHADEMA. Acha kusambaza ujinga. Kaa na ujinga wako.
 
Umenikumbusha hotuba ya babu duni mwaka 2013 Mwanza.
Alikuwa anasema wauwaji hawa ilikuwa ndo kibwagizo kwenye hotuba nzima.
 
Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
Chadema wafutwe kwasababu walishika bunduki na kumimina risasi kwenye daladala na kumuua Aquiline??
 
Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
Kweli kabisa,ikifutwa Chadema,alafu ifuatie wewe na familia yako mfutwe kwenye dunia hii itakuwa poa sana
 
But watu waangamia sasa bila sababu za msingi. Kwani who is salim walimu mpaka watu muandamane na kupigwa mabomu. Mnahadaa watu wanapigwa watu wanaumia.
Huu is police kwa nn uwapige watu risasi wakati hawana hata fimbo, kwa nn uwanyime watu form zao wakati wakwenu mmewapa, and wht the hell is ccm hadi ishinde kiubabe kila chaguzi ...kama huoni tafuta bwana ukaolewe....dunia inaona ujnga wenu subrin tu
 
But watu waangamia sasa bila sababu za msingi. Kwani who is salim walimu mpaka watu muandamane na kupigwa mabomu. Mnahadaa watu wanapigwa watu wanaumia.
well said, ndiyo maana lidj liko wanted
lichama limejaa majambazi na vibaka shwane
 
Back
Top Bottom