Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
- Thread starter
- #101
KWANI HII NCHI YA BABA YAKO hadi utupangie cha kufanya???
kwahiyo unazua la kuzua tu watu wanakufa unaona sawa tu!
KWANI HII NCHI YA BABA YAKO hadi utupangie cha kufanya???
aliyesema walaze unamfahamuInauma sana
Ndugu yangu wewe hujielewi na unatakiwa kupimwa akiliHebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
Najua kuna bangi umetumiaNdugu yangu wewe hujielewi na unatakiwa kupimwa akili
Sasa upinzani ni kuleta vurugu na kubisha kila kitu?Tatizo ni Elimu Elimu Elimu,unajua umuhimu wa upinzani?
Elimika na hautoleta hoja ovyo kama hii
Nipe jibu la maana ya uhuru. na unipe evidance mahari gani fujo imekuwa suluhisho la matatizo popote duniani. CHADEMA mnatamani Tanzania iwe kama Siria. Fujo haija3wahi kuwa suluhu.
CHADEMA AU UPINZANIHebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
watu wa ccm hatutaki ushauri wenu
akili zako na wafuasi wa ccm hazina tofauti .Uanachama wa CCM ulinipa wewe?
Bado hajavunja ungo.Kwani ulikuwa na shida naye sana?Una umri gani?
Wataelewa tuNakubaliana na wewe mkuu, hichi chama cha wahuni kinachoongozwa na muhuni "Mbowe" kifutwe tena haraka sana. Mbowe ni "mwuuaji" aliyejificha chini ya mwavuli wa chama cha siasa na demokrasia. Tangu waliposajiliwa kama chama cha kisiasa, CHADEMA, chini ya muhuni Mbowe wamesababisha mauaji ya watu wengi sana wasiokuwa na hatia.
Kwanza wamekuwa wakiuana wao kwa wao ndani ya chama (rejea kifo cha Wangwe) na pili wamekuwa wakisababisha mauaji ya watu wasiokuwa na hatia ili kutafuta sympathy kutoka jamii ya kimataifa.
Msajili mkuu wa vyama vya siasa anapaswa kuchukua hatua haraka iwezekanavyo na kuifutilia mbali CHADEMA.