Mimi Napenda mno kusoma

Kama unasoma na ujuzi ama weredi unaoupata katika majarida unakusaidia kutoboa kimaisha safi endelea lakini kama ni tofauti basi huna tofauti yoyote na sisi ambao lazima tupitie bar kuchangamsha ubongo kila siku jioni huku tukipata mziki kwa mbaliii
Mkuu,huwezi ukasoma vitabu halafu ukabaki kama ulivyo kamwe. Vitabu vina faida nyingi sanaa,hata kama havikufanyi kuwa Bakhressa au MO. Faida bado ipo.
 
Hakika mdau.
 
CHAI
 
Kuna kitabu nimesahau jina. Ni cha kiswahili.

Stori inahusu dogo alimpoteza mtoto wa dada ake, akaanza kumtafuta
kumbe huyo mtoto aliibwa na watu.

Je uliwahi kukutana nacho hiki kitabu.?
Nakifahamu ninacho soft copy
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…