mimi naona tubadilishe STYLE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mimi naona tubadilishe STYLE

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by stevoh, Jun 26, 2012.

 1. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mke:mume wangu me naona tubadilishe
  staili wewe waonaje?

  mume:kama ulikuwa kwenye akili yangu
  mke wangu niambie wataka style gani?

  mke:wewe uoshe vyombo nakupika mie
  nasoma magazet!

  mume:mmh?
   
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  asili haibadiliki kamwe, nitabaki kuwa mwanamke na msaidizi, atabaki kuwa mwanaume na kichwa cha familia. ila jamani muwe mnatusaidia mara moja moja! kha!
   
 3. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkisaidiwa mwatuita mabwege au mmetulisha limbwata
   
Loading...